Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Wanaopenda CPA za dezo au sio.wanatafutwa watu wa kupigwa hapa mkuu, mjini shule.
Nakuapia atawapata.
kama hawa madaktari wa sasa kila mtu Dr mtu ana certificate ana diploma ila Dr
Wanaopenda CPA za dezo au sio.wanatafutwa watu wa kupigwa hapa mkuu, mjini shule.
Nakuapia atawapata.
Wamescan wamekuta ndicho au wamekagua tu kwa macho?? Computer never forget brooTanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
Mmemuamini? Hiyo ndoano imerushwa, anasubiri Samaki wanase huko PM ili awatafunie laki laki zaoBill aibu unakuja kujisifia ujinga
We falaa tu🖕🖕🖕
Lipia TangazoTanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
Sawa mkuu, bahati njema.Jamaa kibao wako sehemu nyeti hawajadakwa mwaka wa 20 huu.
Hajui huyo. Kajiona mjanja. Baada ya hii post naona amepata mawazo tayari.Ok matter of time utadakwa, now kila kitu kipo kwenye system ukipata ajila kuna kitu kinaitwa vetting wanachukua copy wanapeleka makao makuu ya utumishi kule wanaangalia je vyeti ni vyako kwenye kila taasisi uliyopita utadakwa apo ......
Michezo ya zamani iyo..