kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Bill aibu unakuja kujisifia ujingaTanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
Ngoja wakague mafaili watakulamba tuTanzania kila kitu kinawezekanika.
Nilikua na GPA ndogo sana chuo,nikamtafuta jamaa flani mzoefu wa forgery,kanitolea cheti kama kilivyo na zile security marks zake kanipa first class,nimeenda kwenye interview wale wakaguzi hakuna ambae kashtukia kuwa kile sio cheti halisi.jamaa kanitengenezea mpaka cheti cha CPA.
Mjini mipango..
Wamerudi kwa kasi sana awamu ya Wajinga hiiNyie ndio Jiwe alikuwa anawapenda. Halaf mkawa mnamchukia
Dunia haipo fair, hili nimethibitishaYaani kama umepata kazi fanya tu
Hawa wengine ni wivu tu unawasumbua
Dunia haipo fair
Ukipata upenyo tumia hata ky mpaka upite
Wajinga wanaangalia jina na picha tu kisha zama ndaniMichezo hyo