Nimefanikiwa kubadili cheti changu cha chuo kwa njia haramu.

Ila maisha hayako fair,wengine tunapambana na utumishi kila siku,ila nyie wenzetu mnateleza tu.
 
Acha mara moja upuuzi huo. SIku ukiajiriwa vyeti vyako vitakuwa verified, baada ya hapo watakudaka. CPA gani fala hivi
 
Tangazo lako limekaa kitaalamu sana.
 
Chai
 
Acha mara moja upuuzi huo. SIku ukiajiriwa vyeti vyako vitakuwa verified, baada ya hapo watakudaka. CPA gani fala hivi
Acha wivu wa kike,hao wapuuzi wanaowabia mabilioni ya shilingi huwaoni kenge wewe?
 
Jamaa kibao wako sehemu nyeti hawajadakwa mwaka wa 20 huu.
 
yaani huna akili kabisa cheti feki cha cpa unakamatwa mara moja na nbaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…