Nimefanikiwa kubadili cheti changu cha chuo kwa njia haramu.

Wamescan wamekuta ndicho au wamekagua tu kwa macho?? Computer never forget broo
 
Kichwani naisikia ule wimbo

"wajinga ndiyo waliwao wajinga ndio waliwao๐Ÿค—๐Ÿฅถ"

Wewe ni mqundu wako
 
Lipia Tangazo
 
Chai, ogopa matapeli.
Inasikitisha sana!
 
Africa ni uwanja wa fujo, tutafika tu kibishi
 
Hajui huyo. Kajiona mjanja. Baada ya hii post naona amepata mawazo tayari.

Wanaendelea kuvifuatilia vyeti taratibu hadi vya chuo alichosoma, anajikuta anachomolewa kazini hata baada ya mwaka mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ