Halafu wewe buana! Ulioa vipi bila kuwa na kijiko, sahani, bakuli, sufuria....
Heee.🤣🤣🤣kwa nini hukusema mapema?
Mwenzetu ni nani?Jamani mpo humu tumchangie mwenzetu
Shemeji mbinafsi na Iphone 13 asubiri sana,Anakalia mkuki wangu mimi.
Utanunua ukipataVYa kukaanga hakuna mkuu.
MtaniKumbe hii ni Disemba na shule zimefungwa. 🤔