Anza na hao wachungaji kwa kujua ratiba zao za ibada,fursa iyo badala ya muda mwingi kupiga nyimboasante sana kwa ushauri wako nitafatikia ili ili niweze kupataa vifaa maana natamani isikike zaidi na online na mipango ipo sema uwezeshaji tu
Yaani 50 by 50? Efficiency ya hiyo kampuni itakua sifuri!Mzee kigger tuingie ubia hyo redio
Nachangia equipment na finance then tunagawana hisa ili ikianza kuleta faida tunakula pasupasu
Warumi 13:1 SRUV2 Timotheo 1:7 SRUV
Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi
Zaburi 23:1 Lord is my shepherd sitapungukiwa na kituWarumi 13:1 SRUV
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Wewe ni sawa na WAHUNI wengine TU...TII MAMLAKA
Juzi nimekusikiliza usiku kucha, unagusa mle mle!
unazingua
usiwaze kaka system iliyopo unaweza kutangaza ukiwa hapo hapo ili mradi tu uwe na access net basi na katika kitu nilicho plan watangazi wote watakua wanatangazia sehem tofauti hakuna kujazana studio wala nini cha msingi nikusajili tu mambo yote safiii itakua radio ya kwanza ina watangazaji ambao awafiki studio hahaha!Juzi nimekusikiliza usiku kucha, unagusa mle mle!
Kuhusu earphone niliyokuahid nipe namba zako PM Mkuu,
Ila uniwekee kipande cha kuwa mtangazaji wako buuuuure kbisa (napenda tu kutangaza by nature), kama una uwezo wa kuruhusu hata niendeshe kipindi toka mbali na ulipo inakuwa poaw sana (tutaanza kuweka visegment kidogodogo, mfano maisha ya ujana na Neno la Mungu, Maisha ya ukiristo na uchumi wetu, God's night Lovers, Njonzi njema Mikononi mwa bwana n.k), na unipe kipindi usiku tu maana mchana mishe zinabaana
Mbona huku sasa una ID mbili?usiwaze kaka system iliyopo unaweza kutangaza ukiwa hapo hapo ili mradi tu uwe na access net basi na katika kitu nilicho plan watangazi wote watakua wanatangazia sehem tofauti hakuna kujazana studio wala nini cha msingi nikusajili tu mambo yote safiii itakua radio ya kwanza ina watangazaji ambao awafiki studio hahaha!
wazo zuri ila ata tukipata kibali haiwezi kuwa radio ya kibiashara swala la faida dah!Mzee kigger tuingie ubia hyo redio
Nachangia equipment na finance then tunagawana hisa ili ikianza kuleta faida tunakula pasupasu
shukrani sana pia pale saudia tupoAisee wewe Brother Mungu akubariki mnoo.... Nimesikiliza kutokea Saudi Arabia _Makkah
Warumi 13:1 SRUV
Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
Wewe ni sawa na WAHUNI wengine TU...TII MAML
hapana nina hii hii sina ingineMbona huku sasa una ID mbili?
wazo zuri akifika wa milion 10 nampaHongera sana ndugu.
sasa kama uliunda mwenyewe hii redio ya online kwanini usiuuze hata 10million then, ununue vifaa vyote halafu ukae kitako kuanza kutengeneza redio online ingine.
Watu wa kuwauzia-
wachungaji
mitume na manabii
watu binafsi.
Ushauri lakini^*