Nimefanikiwa kufungua online radio

Naomba niwe mtangazaji wa kipindi cha wanawake katika utume. Pia ntachangia vifaa baadhi hapo mbeleni. Mungu akinibariki kuanzia mwez wa 10.
Injili kwanza
asante sana tunakukaribisha tueneze injili pamoja
 
Naomba niwe mtangazaji wa kipindi cha wanawake katika utume. Pia ntachangia vifaa baadhi hapo mbeleni. Mungu akinibariki kuanzia mwez wa 10.
Injili kwanza
0757560345 namba yangu
 
Nimeisikiliza ipo vzr
nami Nina ndoto ya kufungua online radio tatizo Sina ideas kuhusu IT.
 

Enya - My favorite
 
Ile barua ya tuneinradio vipi ulijibiwa na wadau?
 
Hongera sana Mkuu,nimesoma maelezo yako yote,nitaijaribu app yako nilete mrejesho,usikate tamaa,hivi kwa uzoefu wako msikilizaji wa kawaida anaweza kutumia data kiasi gani kwa saa 24 akisikiliza online radio yako?

Hili swali ukilipatia majibu basi unaweza ukaongeza kwenye sehemu ya maelezo ya radio yako ili mtu anajua kwamba natakiwa niwe na data kiasi fulani bila kuwa na wasiwasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…