Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Hebu jionee na hili ni Taifa tajiri Duniani.Madogo ni kama haya tuliyonayo.
60 years watu hawana maji ya kunywa si mijini si vijijini.
Hospital hakuna vifaa tiba wala dawa wala staff kuhudumia wagonjwa.
Mnataka miaka mingapi kurekebisha sheria ya watu kuwekwa jela kabla upelelezi hujakamilika?jela zinajaa bure kabisa
Mnataka muda gani kutoa uhuru wa mawazo kwa wananchi?
CCM mnatutania sisi wananchi.
2 million Americans don’t have access to running water and basic plumbing