Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Mapema tu ccm wanachukua nchiKwa maneno mengine umewashawishi wapinge maendeleo.
CCM itashinda tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapema tu ccm wanachukua nchiKwa maneno mengine umewashawishi wapinge maendeleo.
CCM itashinda tuu.
Bunda Mjini mvua inanyesha lakini wananchi wamekubali wanyeshewe wakiwa wanamsubiri Tundu Lissu.Kawashawishi na mabeberu wenu wa ubeligiji
Ccm na vyama vya upinzani tuungane kuondoka huyu mtu.Salaam,
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.
Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.
Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.
Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.
Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.
Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
Mkuu Saa 2 asubuhi tuu...JPM anaapishwa nchi iendelee kupata maendeleo.Mapema tu ccm wanachukua nchi
Salaam,

Umefanya kazi nzuri sana. Mungu akubarikiSalaam,

Kila mmoja wetu afanye hivi ni jambo jema sana.Salaam,

Wengine hatuna mashaka na ushindi wa Magufuli mapema tu ikuluMkuu Saa 2 asubuhi tuu...JPM anaapishwa nchi iendelee kupata maendeleo.
Ushindi kwa CCM NI LAZIMA.
JPM 2020-2025
CCM 5 TENAA
Mtu anayejitapa kuipigia kura Ccm should never reach out for help pale mambo yakimuendea komboSalaam,
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.
Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.
Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.
Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.
Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.
Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
Salaam,
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.
Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.
Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.
Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.
Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.
Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
Mie nilishamalizana na famili,mabroo wote na masista ninao sasahivi ni vijiwe ninavyokunywa yaani nawaonesha video za lissu akipiga spana,nina uhakika kwa juhudi zangu binafsi sitakosa kumpatia lissu kura hata mia tano,dhidi ya nduliSalaam,
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.
Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.
Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.
Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.
Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.
Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
Hongera kwa kuwaingiza MKENGE!Salaam,

Sema amewashawishi wapinge maendeleo vya VITU, na wakubali maendeleo ya WATU, kitu ambacho ni sahihi kabisa.Kwa maneno mengine umewashawishi wapinge maendeleo.
CCM itashinda tuu.
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia mojaSalaam,
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.
Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.
Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.
Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.
Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.
Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
Sasa hao mbunda mjini ndo watamfanya lissu awe rais?Bunda Mjini mvua inanyesha lakini wananchi wamekubali wanyeshewe wakiwa wanamsubiri Tundu Lissu.
View attachment 1581483
Kazi nzuri mkuu, tupambane kuwaangusha hawa ccm.Mie nilishamalizana na famili,mabroo wote na masista ninao sasahivi ni vijiwe ninavyokunywa yaani nawaonesha video za lissu akipiga spana,nina uhakika kwa juhudi zangu binafsi sitakosa kumpatia lissu kura hata mia tano,dhidi ya nduli
Salaam,
Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura...