Uchaguzi 2020 Nimefanikiwa kushawishi ndugu zangu kumpigia kura Tundu Lissu

Mimi nayashawishi magroup yangu ya kijami
La high school karibu ya nusu O level karibu wote
Tena hao mateka ndio wanatisha balaa
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura...
Wamekubali ili uwaondolee kelele amini nakwambia.
Labda uongpzane nao hadi kwenye sanduku la kura na uone chaguo lao.
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura...
Kama hao ndugu zako utaingia nao kwenye chumba Cha kupigia kura utakuwa umewin, otherwise haujakomaa kiakili🚶
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.

Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.

Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.

Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.

Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.

Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
Safi sana.
 
Ongera sana. Endelea kuwashawishi wengine, na hao uliowashawishi nao waamasishe watuwengine.
 
Unanafasi yako peponi mkuu pamoja tuta weza kwa uwezo wa ALLAH
 
Kura zako na hao ndugu zako tupa kule na CCM itashinda kwa kishindo
Salaam,

Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.

Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.

Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.

Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.

Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.

Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.

Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.

Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.

Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.

Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.

Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.

Yaani ndugu zako mpaka uwahonge au uwasimamishie misaada ndiyo wakubaliane na wewe. wewe unadai uhuru wa kuchaguwa sasa kwa nini usiwashawishi kwa sera wampigie kura huyo unayemtaka lakini uwaambie hata mkimchaguwe mwingine undugu na misaada ya undugu bado palepale. Hii ya kwako inasikitisha kweli. Yaani siasa mpaka kulazimisha familia ifikirie unavyofikiria wewe. Mwishowe utamwambia baba yako kama anataka msaadfa toka kwako akupe shikamoo mwenye nazo. AAAAAAAAAAAAAIIIIIIIIIIIBBBBBBBBUUUUUUU
 
Hao ni white trash ..wanaishi Southern
Southern ya Tanzania au USA? Changamoto za maendeleo huwa hazikosi hao USA wana miaka 200 na zaidi tokea wawe huru na bado wanachangamoto zao.

CCM itaendelea kuleta maendeleo kwa Watanzania tuipe kura za ndio.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.

Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.

Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.

Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.

Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.

Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
I am not a very big fan of CHADEMA neither LISSU but like majority of Tanzanian I will vote for them because I really deeply truly from a deep of my heart ♥ and my soul I hate President Magufuli for his phobics
He is openly Islamaphibic
Openly Chagaphobic
Openly diveder of our Nation
Killer
Unjust ruller
Arrogant
Na sifa zingine nyingi zisizokua za kibinadamu
But he is going to win election
Ndugu zanguni tujiandae kusaikolojia CCM piga uwa lazima itashinda kwa sababu
Dr Bashiru amesema wazi wazi CCM inachukiwa na Wasomi na watu wenye uchumi tu
Lakini mtaji wa CCM ni masikini na wa darasa la 7 kutokana na utafiti wake Ndio wengi
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu.
Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura.

Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na biashara nzuri tu kipindi cha mkwere akajenga na kajumba na kufanya mambo kadhaa yeye mwenyewe ila wakati huu biashara hakuna na huwa anaomba nimpige tafu kwenye ada ya mwanae mmoja yeye nimemwambia unaona tofauti ya awamu iliyopo na ile ya mwanzo kasema ndio mwanangu nakusikiliza wewe.

Nikarudi kwa mama wakwe zangu wawili huwa wananipiga vizinga mara kwa mara na wao nimewaambia msipopiga kura kwa Tundu tusijuane wameelewa nao.

Mama yangu yeye hana noma kabisa nataka kumalizia kwa wadogo zangu wawili na baba nimalize kazi kwa upande wa ndugu.

Lengo la kuleta huu uzi ni kuwapa moyo vijana wenzangu tuwashawishi wanaotuzunguka na ccm waache kutubeza kwamba tunashinda mitandaoni huku sisi sio wapiga kura na hatuna ushawishi huko vijijini.

Ombi: naomba mniunge mkono wakuu kwa pamoja tutaweza kuangusha CCM.
safi sana
 
Mkuu Mimi pia nimefanikiwa hilo, Mimi na mwenza wangu tayari tulishaweka agano mapemaaaaa kuwa rais ni Lisu, Mzee wangu hana shida yeye haipendi mbogamboga toka moyoni. Bi mkubwa yeye alikuwa mboga mboga ila kwa hali aliyopitia hii miaka mitano hataki hata kuwasikia. Bro wangu na sister wao wanamkubali Lisu sana. Kwaiyo paka hapo Nina uhakika wa kura 5 za Lisu kutoka familia yatu.
Familia yako iko njema sana na imebrikiwa kwa kupenda haki.
 
Back
Top Bottom