Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

Tafuta hela bro acheni kujificha kwenye vichaka visivyowapa furaha.
Sio mtu wa ibada
Hunywi pombe
Huvuti bangi wala sigara
Kitimoto huli(msabato au muislam)
Haya na hao madem ndo ivo tena unawakazia hata 15k, unajifanya upo no fap challenge, sijui kataa ndoa..

Mazee mtakufa mmesimama shauri zenu.
Furahia you only live once, kalaghabaho
 
We mbona mwenyekiti wa chama Cha mkono bao, na hatusemi😂😀
 
Back
Top Bottom