Mkandara
Ieleweke kuwa,wakati unapiga porojo hapa jf,Kamanda mawazo anaendelea kueneza sera za chama na kuvua magamba mkoa wa simiyu.
Wakati Alphonce Mawazo akifanya hivyo,kamanda Ole Sosopi M/ kiti Bavicha anaendelea na kueneza sera, itikadi na falsafa za chama huko kanda ya kusini,Mbeya,Iringa,Njombe na ataelekea songea,
Wakati huohuo Timu ya Mh.Mbunge Jj Mnyika inaelekea kanda ya kusini ( Lindi,Mtwara,unguja,Pemba) anapanga timu huko,wewe unataka Mbowe na Dr.slaawazunguke nchi nzima kueneza sera?,Zitto tu atafanya hivyo chadema chama dume ni chama kikubwa sana,kimeweka migawanyo ya manukumu,jifunze vizuri