Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
- Thread starter
- #241
Kamanda nimefurahishwa kwa uamuzi wako. Naahidi kukupatia mchango japo wa kuchapisha hii makala yako ili wale wa vijijini- kuanzia Mrere hadi Rigicha kule mkoani Mara, wapate nakala. Naamini si wote wote wenye kupata huduma hii ya mawasiliano ya kisasa ya intaneti. Nanuia watambue dhamira yako njema ya kuwatumikia. Mungu akubariki sana.
Kaka Manyerere Jackton,
Natanguliza shukrani zangu kwako kaka.Ubarikiwe sana
Last edited by a moderator: