Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....


umesoma bandiko la Ben mwanzo hadi mwisho?
ni wapi amesema kuwa atagombea kwenye jimbo linaloshikiliwa na Selasini??
 

Teh Teh Ben saanane ana akili kuliko vijana wote wa chadema.
 
umesoma bandiko la Ben mwanzo hadi mwisho?
ni wapi amesema kuwa atagombea kwenye jimbo linaloshikiliwa na Selasini??

Teh Teh unafikiri ataweza kigombea wapi zaidi ya hapo? Sio msaliti tena?
 
Kwani alisema anahama? Mnahama nyie wenye kumfuata mtu.
 
Makenze futa kauli yako, uliitia vizuri tahariri zetu? Au ushazoea kuzusha!! Hii ni mpaka magogoni.
 
Hongera ben,sina hakika kama ulikaa kimya ili act waendelee kukupaisha...lakin cku nyingine kanusha uvum haraka.weka jimbo wazi,mbona mm nimeweka wazi jimbo la nkasi kusin .
Teh Teh
B en sio msaliti tena?
 
Yericko Nyerere, Asante sana komredi wangu

Kamanda Ben, kwanzakabisa nakupongeza kwa huu uwamuzi wa kutaka wa kuwapigania, kuwaongoza na kuwatumikiawananchi. Pili nakupongeza kwa kuwazimamidomo wale wote walioeneza uzushi tangu juzi kuhusu kuhamia kwako ActWasaliti. Tatu umeleta hamasa kwa vijana wenzako hasa ndani ya chadema, kuwawakati umefika kwa vijana kuwapumzisha wazee wanaosinzia mjengono na kusubiri kusema ndoyoo!
 
Nani wa kuficha aibu ? Ccm na act au?maana wewe ni mojawapo jana mliosema ben kwa kuhamia jehanamu ccm/act kajitambua

Teh Teh mimi ni mchochea kuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…