Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
kama Selasini bado anafaa unaonaje ukachagua kazi nyingine kwani kwenda bungeni siyo lazima,viongozi wako wameona mchango wako najua Ukawa tutakuwa na Wabunge wengi hapo october fanya utaratibu mzuri kwani naona msuguano mkubwa utakaosababisha jimbi kuchukuliwa na CCM,ni maoni yangu tujaribu kuwa watulivu na subira,Zito angesubiri miaka mitano ijayo Mwenyekiti na Katibu wangemaliza muda wao wangesogea pale lakini kwa kukosa uvumilivu wanaenda kwa kutumia short kati na hakuna short kati katika mapambano
umesoma bandiko la Ben mwanzo hadi mwisho?
ni wapi amesema kuwa atagombea kwenye jimbo linaloshikiliwa na Selasini??