Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Kuna watu jana niliwaonya wasimbeze na kumtukana Ben, sasa ni aibu yao.
 
Ben Saanane,
Umeshashindwa kabla ya kuanza.
Sera ya kuongeza posho ni sera ya chama chako,,wewe unakwenda kuzifyeka? Atakupitisha nani kwa unoko huo
 
Haya sasa yale Makunguni ya ccm na vidogo vyao Viroboto wa ACT Pamoja na Makamanda Uchwara wa.Cdm waliokuwa wakimlisha huyuw jamaa maneno mdomoni mwao waje sasa Watapike walivyolishwa na kuwalisha wengine..!!

Kuna mwanasiasa huwa anasema tuweke akiba ya maneno, haya sasa mmeongea yote leo mtasema nini Wakuu..?

Ben Saanane wish you All the Kaka Ukijipanga na ninaamini huishiwi kujipanga, utafanikiwa kaka. Mungu muweza wa yote aw nawe ktk mipango na safari yako ya kutumikia wananchi wa jimbo lako Kutokana na hoja zako za kipindi cha nyuma na sasa sina shaka kusema Bunge litakuwa limepata mpambanaji wa kweli ktk kusimamia maslahi ya taifa

Ni maombi yangu na matamanio yangu kukuona ukijenga hoja pae kwenye viota vya jengo jeupe la Dodoma

Alluta Continua.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Bavicha ndio walimzushia...

Mnalo hilo! Hata kama walimzushia vipi mlivyoingia mkenge kwa kimya chake? Mpaka mkasahau mlivyokuwa mnamtukana mkabaki na nyimbo na mapambio juu yake
Sasa Wahaya wana msemo kuwa MWANAMUME ANAGEIKA KITANDANI TUU HAGEUKI KWENYE KAULI. Mkibadili kauli zenu mlizosema Ben ni kijana makini hatuta watofautisha na machangu kwaniwanamme hawageuki kauli.
Hongera Ben kwa msimamo wa kisomi, nilipata shida sana kufikiri kuwa nawe waweza kuwa ZOMBIE?
 
Kamanda Ben, kwanzakabisa nakupongeza kwa huu uwamuzi wa kutaka wa kuwapigania, kuwaongoza na kuwatumikiawananchi. Pili nakupongeza kwa kuwazimamidomo wale wote walioeneza uzushi tangu juzi kuhusu kuhamia kwako ActWasaliti. Tatu umeleta hamasa kwa vijana wenzako hasa ndani ya chadema, kuwawakati umefika kwa vijana kuwapumzisha wazee wanaosinzia mjengono na kusubiri kusema ndoyoo!
Kumbe mlikuwa mnaweweseka? Katika mada ile mimi nilitoa Onyo kwa ACT, wasimkaribishe BEN atakuw anakwenda huko Ku-mine data.
 
Huyu ndiye Commander Ben Saanane katika ubora wake, na hii ni sauti ya mfano wa mtu aliaye kutoka nyikani, ni kijana mwenye ndoto na falsafa ile ile ya wapiganaji wenzetu waliotutangulia zamani, misimamo na falsafa za Ben huwezi mbali na misimamo ya wakina Steve Biko.

VIVA BEN SAANANE, IVA CHADEMA.
 
Last edited by a moderator:
hii singo haiuzi . iliyouza ni ile ya kuhama. bora ungehama tu. every one predicted this. so it is not news at all. and on top.of that. hivi ni lazima kila mtu anayetaka kuonesha mchango wake kwa taifa awe mbunge?? we all know it ia not about that. its about. money . power and fame. unaweza jenga nchi hata ukiwa nje ya bunge.

Mbona wewe hujaonyesha kutaka kuwa mbunge! acha ambitions za wenzio zitimie wewe na approach yako tutaitumia utakapotaka iwe.
 
Kamanda Ben, kwanzakabisa nakupongeza kwa huu uwamuzi wa kutaka wa kuwapigania, kuwaongoza na kuwatumikiawananchi. Pili nakupongeza kwa kuwazimamidomo wale wote walioeneza uzushi tangu juzi kuhusu kuhamia kwako ActWasaliti. Tatu umeleta hamasa kwa vijana wenzako hasa ndani ya chadema, kuwawakati umefika kwa vijana kuwapumzisha wazee wanaosinzia mjengono na kusubiri kusema ndoyoo!

Hatuto vumilia wasalito- CHADEMA KWANZA.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Ben kwa uamzi wako ni uamzi mzuri ingawa una changamoto zake.

Niseme tu nilisikitika sana niliposikia tetesi kuwa unataka kuhama chama nilijitahidi tetezi hizo kutoziamini na kweli imekuwa kama nilivyoamini.

Once again nakutakia mafanikio mema kwenye safari yako.
 
Beni kama rafiki nilihuzunishwa na uvumi kuwa umejiunga na hao jamaa!

Sikuwa naamini maana kwa weledi na upeo wako nisingetegemea maamuzi kama hayo ungewez kuyafanya! ila ukimya wako umesababisha ACT kuzua uongo waliouzua! next time be punctual comrade
 
Mkuu una support yangu ya hali na mali ... Muda ukifika tuwasiliane kaka... Wewe ni Jembe la ukweli, Tuko Pamoja sana ...
 
Kila la Kheri Ben, ni Uamuzi mzuri na wa Kuunga Mkono. Wewe ni moja ya Vijana ambao ni Waliokomaa na Kujitambua. Ufanyalo ni la Kidemokrasia na Nakuunga Mkono Kamanda.

Pia Umeondoa UZUSHI wa Wana ACT waliodai Unajiunga nao,hali iliyoleta Sintofahamu kwa Wengi, wapo walioamini, wapo waliokataa,na Wapo waliokuita yale wanayoyadhani wao kuwa majina. Pole kwa hilo!
 
Haya ndio maneno tunataka wabunge watakaojenga hoja, tumechoshwa na watu kama Leticia Nyerere
 
CCM mmekuwa kama watoto wadogo. mnaforce divide and rule, mnaleta sanaa kwenye jumba la sanaa.
ubunge unagombewa popote.
wewe ndio msaliti wa masikini wa tanzania kwa kutetea mafisadi CCM.

Msaliti wa watanzania ni yule aliye mtorosha mbunge na kwenda nae Dubai na kumkosesha vikao vya kujenga nchi.
 
Back
Top Bottom