Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Kila la heri Ben kwenye ndoto zako za kugombea ubunge.
 
Leo nimefurahi sana yaani natamani ungekuwa karibu yangu
_Eti ben aende chama la wasaliti kwa kweli ningeshangaa sana Ben Mungu muweza utashinda baba mimi zangu sala tu!!!

pamoja sana kamanda
 
Last edited by a moderator:
Twende bungeni na Ben Sanane! Hii nimeipenda Kamanda, hongera sana! umeandika vema sana inatosha umeeleweka. Chadema huyu kijana mpeni jimbo mapema msisubiri awaombe yeye nyie ndo mumuombe kwamba tunakuomba ugombee!

Ben sanane nakukubali sana umefanya uwamuzi sahihi na makini sana. Hongera sana mshikamano daima.
 
afadhali maana wengine tulishastuka.Maana siku hizi ukisikia maamuzi magumu picha ya kwanza ni kuhama chama.
Ninakuunga mkono kamanda.Karibu rombo,karibu nyumbani.
 
Ile kauli ya facebook sijui ilikuwa ya kupima upepo,hapa hatuna mtu hii ni mind game,hizi tabia za kupima akili za watu zilianza kwa Zitto,hata siku moja huyu jamaa sintamwamini
 
Elimu saafi. nimependa mengine mtajuana huko jimboni
 
Teh Teh huu uzi una vituko sana yani Bavicha wote wana muita Ben Kamanda wakati juzi walimuita msaliti na ndumila kiwili bila hatia......

Teh Teh
 
Pro-Chadema wengine wanaona aibu kuja kumpa pongezi Ben kwa jinsi walivyomtuna.

Muda kidogo taanza kuweka matusi yao.

Teh teh teh.
 
We mtoto ulikua umeniweka roho juu, angalau sasa presha imeshuka.
 
hii singo haiuzi . iliyouza ni ile ya kuhama. bora ungehama tu. every one predicted this. so it is not news at all. and on top.of that. hivi ni lazima kila mtu anayetaka kuonesha mchango wake kwa taifa awe mbunge?? we all know it ia not about


that. its about. money . power and fame. unaweza jenga nchi hata ukiwa nje ya bunge.

Mwambie mama yako ahamie huko unakoona kuna lipa kwa wasaliti wenzio ACT
 
Ile kauli ya facebook sijui ilikuwa ya kupima upepo,hapa hatuna mtu hii ni mind game,hizi tabia za kupima akili za watu zilianza kwa Zitto,hata siku moja huyu jamaa sintamwamini

Acha majungu Commander! Twende bungeni na Ben.
 
Back
Top Bottom