Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Tatizo wengi wetu humu siasa zinatutawala badala ya sisi kuzitawala siasa.
 

Muombe msamaha kwa kumuita msaliti
 
Keep it up! Na hongera kwa uamuzi sahihi.

Ila nikurekebishe kidogo kuhusu fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo. Zile fedha za serikali kama fedha zingine za maendeleo na zinatumwa Katika Ngazi za Halmashauri kwa utaratibu ule ule wa fedha zingine za Halmashauri na matumizi yake yanasoimamiwa na Mkurugenzi na inakaguliwa kama fedha zingine za serikali.
 
Hongera kijana! Nimekapenda kaCV Chako kumbe kanatosha kukupitisha machoni mwa watz,
 
Haya ndio maneno tunataka wabunge watakaojenga hoja, tumechoshwa na watu kama Leticia Nyerere

Teh Teh hakika Bavicha ni futuhi ina maana mara hii ben sio msaliti tena?
 

Kwahiyo wewe tatizo lako nikwamba hajahama chama tu?
 
Huyu ni Ndumila kuwili, si wa kuamini hata kidogo. Ila la msingi tu ni kwamba hata CHADEMA wamfanyeje Ben, hawezi kuthubutu kuhamia ACT na ACT hawawezi kuthubutu kumkaribisha. Nadhani unajua vizuri zile habari za utaka kulishana sumu na matamshi ya kuwa mtu fulani aliaga kwao na atakaemlisha sumu ukoo wao utakufa hadi Panya. Unajua ni akina nani walikuwa wanahusika? BEN atakwenda popote ila siyo ACT.
 
Ben saanane is a learned brother,democracy calls for fair competition
Fingers crossed though.
 

Selasin ni miongoni mwa mizigo iliyopo bungeni, mie sipo Chadema lakin go Ben Saanane, naamini Bunge na taifa litanufaika ukiwa bungeni.
 
Bunge litakuwa makini sana... Data za ukweli zitaanikwa hadharani ...
 
Hongera Ben, nilishtuka juzi niliposikia maneno ya kipuuzi.
 
Teh teh teh huyu jamaaa katukanwa sana na Bavicha.

Ngoja takuwekea matusi yao.

Teh Teh mkuu Ritz yalete ili Ben ajionee jinsi leo wanavyo msifu halafu juzi walimtukana...
 
Last edited by a moderator:
Hongera Ben Saanane kwa uamuzi mzito, uwakilishi sio lelemama especial nia ikiwa sio zaidi ya ajira Kama ajira zingine...

Jambo moja ambalo ningependa kujua via PM; je zaidi ya siasa kipato chako cha kila siku ni chanzo chake ni kpi? Mfanya biashara, mkulima au muajiriwa popote zaidi ya kwenye chama?

Ni hayo Tu, mwisho nakutakia kila la kheri kwenye Safari yako. Mimi naamini Kabisa Bunge uwiaono wa wabunge Ukiwa mzuri nchi itaenda Mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…