Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Maelezo mengi lakini hakuna la maana hata moja hapo. Imekushinda BAVICHA, jimbo utaliwezea wapi wewe?

Aibu imekushuka ulichotarajia sio ulichokutana nacho umekuja kichwa kichwa ukitarajia Ben atatangaza kuwa amehamia ACT.
 
Kamanda tuko pamoja sikuzote nakuamini ni comrade wa kweli daima unajua nin unachokifanya si wale wapenda madaraka
 
Pro-Chadema wengine wanaona aibu kuja kumpa pongezi Ben kwa jinsi walivyomtuna.

Muda kidogo taanza kuweka matusi yao.

Teh teh teh.

Twende bungeni na Ben ndiyo habari ya mjini kamanda
 

Ben nmefurahi Sana kusikia umesoma Lyamungo. nimefurahishwa zaidi na jinsi ulivyo jielezea .
 
Ile kauli ya facebook sijui ilikuwa ya kupima upepo,hapa hatuna mtu hii ni mind game,hizi tabia za kupima akili za watu zilianza kwa Zitto,hata siku moja huyu jamaa sintamwamini

Mkuu, nafurahishwa na viongozi wa Chadema kuendelea kunyamaza kimya.. kurugenzi ya habari, Mohamedi Mtoi na wadau muhimu wamenyamaza. Kurugenzi ya Usalama ya Chama itakuwa iko busy kuinvestigate huu mchezo wa kuigiza ulioanzishwa na ACT kwa kushirikiana na CCM. Huenda watu wetu wanashiriki...
 
Last edited by a moderator:
Sasa ACT wanatoa wapi ujinga wanao andika. Mods mko wapi au tuamini mnaibeba ACT?? Taarifa nyingi zinazoletwa na hawa mamluki ni za uongo. Tumeona hata Zitto akitoa taarifa za uongo na mnazipokea. Hata pale walengwa wanapokanusha mods mnakaa kimya
 
Aibu imekushuka ulichotarajia sio ulichokutana nacho umekuja kichwa kichwa ukitarajia Ben atatangaza kuwa amehamia ACT.

Wazalendo mbuzi wa ACT wana uhaba wa wapiganaji si unaona jembe lao ni Mwl.Kaijage sasa wakikuwa wanamtaka Ben waongeze kwenye genge lao.
 
Last edited by a moderator:
Kwa akili ya kawaida kufanya maamuzi magumu aliyosema ndo kutangaza nia ya ubunge?alisema wengi itawaumiza,nata anataka aungwe mkono,hii kutangaza nia ya ubunge ni kufanya maamuzi magumu
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kamanda Ben,nimefurahi kusikia hili kutoka kwako,nipo Kigoma pamoja na wapenda Democracy ya ukweli waliopinga nakudharau Propaganda za Ayatollah tunakutakia kila lakheri na sisi tunaendelea na mikakati sahihi ya kuongeza Mbunge wa Chadema jimbo la Kigoma mjini na hilo lipo wazi na Ayatollah anajua ndio mana anataka kulikimbia jimbo
 
Sasa ACT wanatoa wapi ujinga wanao andika. Mods mko wapi au tuamini mnaibeba ACT?? Taarifa nyingi zinazoletwa na hawa mamluki ni za uongo. Tumeona hata Zitto akitoa taarifa za uongo na mnazipokea. Hata pale walengwa wanapokanusha mods mnakaa kimya

Mkuu JF ya siku hizi kazi sana
 
Pro-Chadema wengine wanaona aibu kuja kumpa pongezi Ben kwa jinsi walivyomtuna.

Muda kidogo taanza kuweka matusi yao.

Teh teh teh.
Mkuu hakika Bavicha wamepata aibu wengine wamejificha...
 
Me nafkri kwa mtazamo au maoni yangu,ungekanusha kwanza hapa jamvini ile ya kutimkia Mzalendo
 

Makamanda punguzeni dozi mtamuuwa Ayatollah kwa presha jamani
 
Nakuunga Mkono.
 
Duh!
Nilistuka sana, maana wngi walisema jamaa anahama chama,
kwangu nilikumbuka jamaa waliopoteza masha wakati mnaenda kwenye kampeni ya Mitaa.
Nikasema duh! Jamaa anawasaliti hata Marehemu?
Hongera sana, na Kila laheri!
Hope ni ROMBO!
 
kaka wewe ni kiongozi..... na imani hutoterereka hata hapo baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…