Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Hongera mkuu Ben...huo ndo uamuzi sahihi I give you 100% unaweza na utafanikiwa, naomba Chama cha Chadema kikupe Ridhaa...!! Meet You there Bro
 
It is very fair, nikutakie kila la kheri katika safari hiyo. Ila Mods wanatakiwa watende vyema ili kulinda reputation za watu. Kuwacha taarifa za kupotosha kama ilivyokuwa kwa Ben hata kama inakuja kwa kivuli cha tetesi it ought to be striken from the forum. We need fairness ili kulinda heshima ya jukwaa.

Watu wanatukana hovyo, wanaharibu mijadala makusudi kabisa, wanafanya kila maovu, mpaka sasa mtu anashindwa kulitofautisha hili jukwaa navijiblogu vya udaku.

Watu makini walikuwa wanajitokeza lakini leo hii wako wapi? Mtu mwenye akili aje a-argue na Lakisipesa????
 
Last edited by a moderator:
Kk ben,kwanza ongera kwa uamuzi wako mzr,pili ongera kwa kukaa kimya kuto jibu ile thread ya kipuuzi,binafsi sina chama ila nakukubali sana,na pia kwa moyo wote umepongezwa na kk ritz pia kwa moyo wake wote bila kujali tofauti zenu za kichama,hii inaonesha ni jinsi gani unathaminiwa kwa michango yko na mategemeo mengi toka kwako,lkn pia nikwambia kitu ndani ya chama chochote lazima kuwe na makundi hasimu,laxima uwe na marafiki na maadui pia coz hata mungu anao maadui sembuse binadamu sisi?.Hayo makundi yasikurudishe nyuma,lkn pia ndani ya ma pro cdm,nadhani umewaona wanafiki zako kupitia ile thread ya kipuuzi,watu kama akina shardcole ni watu mhm sana kwako,hawakuvunjika moyo,lkn pia wale wengne ma pro cdm wenzako waliokuponda,usiwahukumu wote kwa mabaya wanakupenda,wanajua umhm wako na walikuwa wanaumizwa na kuhama kwako so wakakosa uvumilive kama shardcole hawakuwa na njia nyingne zaidi ya kukulalua ili kukilinda chama chao,ni ndg zako hao. Lkn pia nakuhakikishia ukijitambua na kuwa na hoja presentation siyo kz ni uzoefu tu na baadaye utakuwa vzr so usiogope wanaosema ben wa jf hawezi jukwaani,mda ukifika ntakupa support yang ya mali,binafsi wewe na pasco humu jf nawakubali sana.
 
It is very fair, nikutakie kila la kheri katika safari hiyo. Ila Mods wanatakiwa watende vyema ili kulinda reputation za watu. Kuwacha taarifa za kupotosha kama ilivyokuwa kwa Ben hata kama inakuja kwa kivuli cha tetesi it ought to be striken from the forum. We need fairness ili kulinda heshima ya jukwaa.

Watu wanatukana hovyo, wanaharibu mijadala makusudi kabisa, wanafanya kila maovu, mpaka sasa mtu anashindwa kulitofautisha hili jukwaa navijiblogu vya udaku.

Watu makini walikuwa wanajitokeza lakini leo hii wako wapi? Mtu mwenye akili aje a-argue na Lakisipesa????
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere, Asante sana komredi wangu

Katika siku ulizonifurahisha Ben ni leo watu Chadema huwa haikurupuki inahazina za kutosha naona wenye uwezo mmeamua sasa kutoka kwenda kufanya kazi za wananchi maamuzi mazuri kama ya Tundu Lissu 2010.
 
Last edited by a moderator:
Naomba bwana ADRIAN aione hii thread,aone jinsi walau watu wenye dhamira ya kweli wanavyofanya.

Siyo kutupa taarifa ya ajali tu na kutajataja majina ya shemeji zako uzi wote.

Kila lenye kheri kwenye safari yako Ben maana ni haki yako mkuu.

Nimegundua JF is no longer a credible source any more huu upotoshaji ukiachwa soon watu makini hawatakuwepo humu.

Mods kuweni makini juu ya hili.
 
Last edited by a moderator:
Makamanda punguzeni dozi mtamuuwa Ayatollah kwa presha jamani


Ayatollah tunamsubiri aje agombee Kigoma mjini kama alivyosema eti anakubalika tumuonyeshe faida ya usariti na ajue kwamba Kigoma hatufuati mtu,na kama ni umaarufu hata Kaburu alikuwa zaidiyake na anajua tulichomfanya kwa sababu ya kututukana eti sisi niwavaa kaptura
 
Pamoja na kwamba hujataja Jimbo, lakini naomba nikusihi kama utaamua kugombea Jimbo la ROMBO uje na majibu ya kuondoa tatizo sugu la Maji, kuboresha soko la Ndizi ambalo limekua mbadala wa kahawa kwa sasa, na jinsi ya kupambana na ulevi wa pombe uliokithiri.
 
Keep it up! Na hongera kwa uamuzi sahihi. Ila nikurekebishe kidogo kuhusu fedha za Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo. Zile fedha za serikali kama fedha zingine za maendeleo na zinatumwa Katika Ngazi za Halmashauri kwa utaratibu ule ule wa fedha zingine za Halmashauri na matumizi yake yanasoimamiwa na Mkurugenzi na inakaguliwa kama fedha zingine za serikali.

Tsafurd ,

Ni kweli CAG hukagua.



Kuna malalamiko juu ya baadhi ya wabunge ku-collude na DED na kuelekeza matumizi ya fedha kwa mrengo wa upendeleo

Mswada wa sheria hii mwaka 2009 ulipingwa na wanaharakati na mabalozi.Tuangalie namna ya kufanya marekebisho.Kuna mfumo mzuri kwa baadhi ya nchi kama Mauritius
 
Tumeshuhudia humu sasahivi akili kubwa zote zinajua kutambua na zimetambua Ben ni nani twende kazi Ben.
 
Back
Top Bottom