Usiku wa kuamkia leo, mfanyakazi mwenzetu alijitwalia jiko,
Jambo la msingi ulilofanya nikumpa Bwana mdogo funguo za gari awarudishe wasindikizaji wa harusi. Hamna jambo linanyima raha waomba lifti kama kuachwa kwenye sherehe kisa usherati.
 
Jambo la msingi ulilofanya nikumpa Bwana mdogo funguo za gari awarudishe wasindikizaji wa harusi. Hamna jambo linanyima raha waomba lifti kama kuachwa kwenye sherehe kisa usherati.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚We jamaa ulifikiri nini?
 
Kuna mwenzako mwenye tabia kama zako, huko Morogoro aliishia kuuawa, MAPENZI NI HATARI MNO,hasa inapokuja issue ya MKE/MUME wa mtu!
 
Boss siku zote yuko juu ya wafanyakazi wake. Hujafanya mapenzi na boss wako ila BOSS WAKO KAFANYA MAPENZI NA WEWE. Boss kakutumia na mshahara ule ule wa ofisi na mbali na kuwa mwanaume umeliwa na boss ๐Ÿ˜ฌ
๐Ÿ™‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ