Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

That's it!!!
 

Na kwa taarifa tu mkeo ameshajua ulivyoondoka tu amemuhadithia mkeo ivyo wamekutega Mzee wa mtelemko
 

Mkeo naye akitawanywa na hse boy utakuja kuomba ushauri huku?


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Mtimue kabla hali haijawa mbaya kwa upande wako.
 
Mnatunga hizi story kwa faida gani? Sijawahi kuelewa.

Ujinga wa vijana wa form one tunaujadili kivipi humu? Hawa hawajakua ni vema wakaonywa kuandika na pia kuelezwa kuwa alichofanya ni kitendo kiovu kwani ni sawa na ku abuse dada yake. Asione sifa bali ajione ameoza na ajilaumu kwa kumdhalilisha wife wake
 

Si ndo wewe ulisema unashukuru JF IMEKUWEZESHA KUPATA MKE MWEMA HUMU JAMVINI sasa iweje unaanza kucheza na mahouse girl
 
Duuh sasa we ndugu yangu umepitiliza housegirl umemtimba shemeji zako si ndo utazaa nao kabisa. JIHESHIMU

Yaan hiki kitu ni kama kula nyama ya mtu...ukikosea kujaribu tu mara moja huwezi kuacha... yaan kila house girl mpya akiingia kwa nyumba awe mbaya lakini bado tu utatamani kutembea nae..Kati ya vitu najitahidi kuviacha ni hili lakini kila housegirl mpya akija najikuta tu nasukumwa kutembea nae...
 
Utaanzia housegirl mwisho wake binti yako. House girl, jirani, rafiki wa mkeo na workmate wakwepe kama ukoma.

Wewe vip ndugu?binti yako na housegirl+hao wengine wanahusiana vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…