Nimefanya mapenzi na Mwanamke wa JF!

Status
Not open for further replies.
Thibitisha kuwa hapo ulipopakoleza kwa maandishi mazito ya rangi nyekundu ndo lengo lilipo.

Kwa sababu hakukuwa na umuhimu wowote wa wewe kutaja hivyo vitu hapo. Ungeishia kusema tu pafyumu inayo nukia vizuri sana.
 
Kwa sababu hakukuwa na umuhimu wowote wa wewe kutaja hivyo vitu hapo.

Wewe ndo mpangaji wa kipi cha muhimu kwangu na kipi si cha muhimu?

Ungeishia kusema tu pafyumu inayo nukia vizuri sana.

Huwezi kunipangia umuhimu wa lolote. Na wanaume hutumia cologne, sio "pafyumu".
 

ulimuota nani?
 
Nilivyoanza kusoma story nilihisi mwisho wake itageuka kuwa ndoto na imekuwa kweli
 
Wewe ndo mpangaji wa kipi cha muhimu kwangu na kipi si cha muhimu?



Huwezi kunipangia umuhimu wa lolote. Na wanaume hutumia cologne, sio "pafyumu".

message sent...box zinalipa
 
kwa wale ambao umeshapita lazima roho zilishadunda wakihisi ndani ya post umewataja! na wengine tayari walishaanza kuandaa mate ya kurusha na kuanza kusema si ustaraabu kutajana hapa, unatudhalilisha, tukiwanyima mnalia ohh tukiwapa mnatangaza...teh teh teh!
 
Bangi mbaya sama. Ipo siku utakojoa ktandani ukidhan uko maliwaton
 
Hadithi nzuri sana, bila shaka umeshampa PM yule uliyemuota Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya kuhitimisha story nilikuwa najiuliza kama ulikumbuka Condom
 
Nimeshangaa lii post la 2010 na ameshazini sasa ya nini hapa ...hee kumbe kriwaya katamu ,homgera
 
Nyani una talent ya kuandika nimeipenda story yako coz ulivyovuta attention mie nikawa nasoma huku najiuliza hivi huyo demu wa JF akiona hii post itakuwaje,,,,si atakuona wa ajabu,,,,, si ataona huna siri,,,,,, si atakudharau n.k. Lakini kumbe ndoto bana.
 

hehehe! naona leo wana MMU wameamua ku-time travel into to the past kwa kuchimbua thread za zamani. watu8 kachimbua za mdada mmoja anaitwa Mankaa mpaka imeleta burudani.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…