Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha kuwa hapo ulipopakoleza kwa maandishi mazito ya rangi nyekundu ndo lengo lilipo.
Spiritual wife................!!!!
Go for deliverance...
Kwa sababu hakukuwa na umuhimu wowote wa wewe kutaja hivyo vitu hapo.
Ungeishia kusema tu pafyumu inayo nukia vizuri sana.
Sabalkheri wana JF wenzangu. Natumaini wote mlikuwa na wikiendi njema kabisa na mmeamka Jumatatu hii wenye nishati nyingi za kutosha kuweza kuendeleza libeneke la kusukuma gurudumu la maendeleo la hii nchi yetu pendwa.
Baada ya takribani miaka minne na nusu hatimaye Jumamosi hii iliyopita nilishawishiwa kutoka na kwenda kiwanja kujirusha. Kwa zaidi ya miaka mitano mimi na kujirusha hatujawa beneti kihivyo. Lakini wikiendi hii nimevunja huo mwiko.
Basi bana sisteri mmoja wa hapa JF akanipigia simu ile Jumamosi jioni akinitaka tukutane New Maisha club (sijui ndio inavyoitwa hivyo...wenye kujua saidieni). Nikasita kidogo kwani kama nilivyosema mimi kujirusha sio zangu kabisa. Lakini kwa ajili yake nikakubali.
Nikajipiga sopusopu na baada ya hapo nikaingia kwenye mchuma huyo nikaenda kumpitia. Nikamkuta naye kajikwatua kwelikweli...naona hakutaka mchezo siku hiyo. Akaingia kwenye mkebe nami nikapiga moto chini. Nadhani allipenda cologne niliyokuwa nimepakaa maana usiku mzima hakuacha kunipa compliments....'mmm jamani Ngabu unanukia vizuri...umepakaa nini?'....'Aaah nimepakaa Cartier Roadster Sport exclusive kutoka Nieman Marcus'....akasema kwa mshangao 'wee Ngabu sikuwezi...yaani hata cologne unanunulia Nieman Marcus!!'
Kuifupisha hadithi ndefu, tukaingia zetu hapo Maisha. Tukajirusha....vinywaji vya hapa na pale...yeye ni mpenzi wa Long island iced tea na mimi mtu wa bia tu. Basi tukafurahia usiku wetu halafu tukaondoka. Alikuwa kachoka na hakutaka nimrudishe kwake. Basi tukaenda wote kwangu.
Tukafika nyumbani tukaenda moja kwa moja chumbani. Tukachojoa mavazi tukapanda kitandani. Mara mwenzangu akaniambia anasikia baridi....mwanamume nikajua leo hapa kitu na boksi. Basi nikaanza kumtomasa tomasa hapo na jambo moja likapelekea jambo jingine na hatimaye nikajikuta niko juu ya kiuno chake na kilichofuatia baada ya hapo tumia imagination yako.
Shughuli ikawa ndio imeanza kukolea sasa. Mazee nilikuwa nagusa engo zote...kaskazini, kusini, mangharibi (sio magharibi), mashariki, kaskazini mangharibi, kusini mashariki...yaaani wewe acha tu. Mashine yake ilikuwa bomba sijapata kuona. Inavyoelekea ilikuwa haijapenyezwa kwa muda maana kitu kilikuwa taiti.
Sasa wakati karibia nafikia kilele mara ghafla bin vuuu nikaamka toka usingizini bana. Baada ya kutahamaki nikagundua kumbe nilikuwa ndotoni bana....aisee niliudhika sana na nikabaki kufyonya na kutukana. Yaani yale maraha yote kumbe nilikuwa naota bana...aaah basi hata kulala sikuweza tena. Ikabidi niamke tu nianze kuangalia tivii na ku-browse JF.
Hiyo ndio ilikuwa ndoto yangu ya usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili. Narudi zangu kwenye maboksi na tutaonana tena mwezi Oktoba nitakaporudi kutumia haki yangu ya kikatiba siku ya 31 mwezi huo.
WTF!! Umeitoa wapi wewe hii mada? Nyambaaaf:biggrin1:
Wewe ndo mpangaji wa kipi cha muhimu kwangu na kipi si cha muhimu?
Huwezi kunipangia umuhimu wa lolote. Na wanaume hutumia cologne, sio "pafyumu".
message sent...box zinalipa
kwa wale ambao umeshapita lazima roho zilishadunda wakihisi ndani ya post umewataja! na wengine tayari walishaanza kuandaa mate ya kurusha na kuanza kusema si ustaraabu kutajana hapa, unatudhalilisha, tukiwanyima mnalia ohh tukiwapa mnatangaza...teh teh teh!Sabalkheri wana JF wenzangu. Natumaini wote mlikuwa na wikiendi njema kabisa na mmeamka Jumatatu hii wenye nishati nyingi za kutosha kuweza kuendeleza libeneke la kusukuma gurudumu la maendeleo la hii nchi yetu pendwa.