uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Hapana Mkuu mbona hata mzee wangu kaoa na 35 na yupo mpaka leo vizuri Ana 66yrs acheni kukurupuka kuwaambia watu kuoa wakati Bado hawajandaa legacy
Usimtaje Jay z sasa, mtaje Mzee wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Mkuu mbona hata mzee wangu kaoa na 35 na yupo mpaka leo vizuri Ana 66yrs acheni kukurupuka kuwaambia watu kuoa wakati Bado hawajandaa legacy
Kwani walikufanyaje Hawa wanawake mkuu[emoji23][emoji23]KATAA UJINGA
KATAA UTAPELI
KATAA UJAMBAZI
KATAA WIZI
KATAA DHULMA
KATAA KUPIGWA
KATAA NDOA
Anasema tunakata kuni wakati sio kweli .? Hana hoja za msingi anajaribu kubahatisha.
Imeshanitokea mara mbili,mara kwanza nikachomoa ila mara ya pili nikawa mpole mpaka sasa namtunza ila nimemwambia aniachie muda kidogo wa kufurahia maisha maana niliruka stage ingawaje hapendi ila nafanya tu kibabeSo ushaingizwa king Mkuu?
NAKAZIAKATAA UJINGA
KATAA UTAPELI
KATAA UJAMBAZI
KATAA WIZI
KATAA DHULMA
KATAA KUPIGWA
KATAA NDOA
😬 😬 😅 NDOA NI UTAPELIKwani walikufanyaje Hawa wanawake mkuu[emoji23][emoji23]
NAKAZIA😬 😬 😅 NDOA NI UTAPELI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tofauti ya Jay z, na wewe na wa Tanzania ni hela, tafuta kujua wakati yeye ana umri wako alikuwa na kiasi gani?
Wewe kazi yako ni kukata kuni, ukifika 40 ndo unaoa, jiulize, hivi mtoto akiwa na miaka 10 una 50, je bado utaweza kukata kuni uwasomeshe?
Kwa kifupi, Jay z yeye mpaka anakufa ana hela, wewe kipato chako ni direct proportional na uwezo wako wa kufanya kazi ambao unapunguzwa na umri.
Wataje mkuu umwaibishe mtoa madaUnaamini kweli mtoto wake wa kwanza kapata na beyonce?? Hawawezi kukwambia watoto wake wa nje hata siku moja. Jay Z ni mchepukaji mzuri sana na anawatoto kibao.
Mwalimu wa Kiinglish asiyejua kiinglish! Maajabu hayaMimi mwalimu wa kingereza Mkuu Sasa hizo kuni nakatia wapi wakati nakaa Temeke vetinary?
NakaziaKATAA USHOGA
PIGA VITA KATAA NDOA
Miaka 15 mbona gape ya kawaida sana.Kinachonishangaza Jay Z kuoa mtu mdogo sana kwake kwa miaka 15. Jay Z kamzidi Beyonce miaka 15.