Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

Mimi mwalimu wa kingereza Mkuu Sasa hizo kuni nakatia wapi wakati nakaa Temeke vetinary?
Kazi ikiisha una uwezo hata wa kula hata kwa miezi mitatu? Ukiwa kazini walau unaweza kumsomesha mtoto lakini ukistaafu hutaweza au unafikiri kuwa ns miaka ming ndio automatically kuwa na hela?
 
Mkuu usiyalinganishe maisha yako na ya Jay Z, ishi tu maisha yako
 
Mbona mzabzab kasema kweli saiv ni hela uwe mzee/kijana una hela uoi uli mbususu.
Your mind is very corrupted mkuu 😂😂😂😂😂 i wish to see in person sijui unafananaje kwa haya unayoandika humu
 
Back
Top Bottom