NB: Mimi Jay z ni moja ya role model wangu akifatiwa kwa ukaribu na Mshana Jr na Dr Issack Maro wa clouds fm radio na mwisho Sugu Deiwaka Jongwe
Mkuu Jay nipo hapa born on December 4th, say same day same time but on different location
Nb: ambacho sio kiswahili ni kimombo nimecharaza kingereza sio Cha ugoko na kugombea maji
Wanawake ndio hulazimishwa kuolewa hakuna mwanaume anaemlazimisha kumuoa mwanamke hakuna hio napinga tena hakuna,
First of all Jay Z, ni Sagittarius na tabia za Sagittarius ni wanaita Alpha males, sio Omega most are like that, sasa Alpha male hupenda kula kilicho chake sio vilivyo vya wengi na ili ule kilicho chako usile kilicho Cha wengi Ina maanisha wewe ni wa thamani na ili utimize hilo unahitaji muda kudadisi na kuperuzi, Sagittarius humpenda zaidi mwanamke anaempa Uhuru kuishi anavyotaka na anavyopenda nae pia hufanya the same but usichojua sisi Sagittarius tuna kawivu fulani ka chini kwa chini we never show that to you kingine hatuwapendi backbiters, ndio maana hutuchukua muda mrefu kufanya maamuzi ya kuoa, Cha kuongezea ili uwe na Uhuru unahitaji Pesa za kutosha na Sagittarius huamini katika Pesa ndio maana wengi huwekeza na wengi ni wacheza kamari wazuri (Gamblers) Jay Z kupitia Brooklyn Nets anaweka kibunda anavuna mafao
Wesha redio weka muziki wa Keny Rogers - The Gamblers utaona Sagittarius anavyosimama kusikiliza wimbo kwa makini, hata kwenye issue ya ndoa Sagittarius hua anacheza kamari maana anajua ndoa ni km game 'mchezo wa kamari' ya
Russian roulette kuna kupata kuna kukosa na kuna kula na kuna kuliwa, lazima ujue mda gani ubaki, ujue mda gani usisukume kete na ujue pia ni mda gani uondoke
NB : kwenye mabano ni kingereza au lugha isiyo rasmi