Nimefatilia maisha ya Jay Z, nimegundua kuoa sio jambo la haraka

So ushaingizwa king Mkuu?
Imeshanitokea mara mbili,mara kwanza nikachomoa ila mara ya pili nikawa mpole mpaka sasa namtunza ila nimemwambia aniachie muda kidogo wa kufurahia maisha maana niliruka stage ingawaje hapendi ila nafanya tu kibabe

Hasa hasa watoto sikupenda kabisa kuwa nao,nilitafuta sana pisi ambazo hazizai lakin sikufanikiwa kwa wakat huo
 
Jay Z kaiingia cha kike marapa wenzake karibu wote hawajaoa. Najua ile ndoa yao ya siri itakuwa ni influence ya Beyoncé tu
 
Unaamini kweli mtoto wake wa kwanza kapata na beyonce?? Hawawezi kukwambia watoto wake wa nje hata siku moja. Jay Z ni mchepukaji mzuri sana na anawatoto kibao.
 
Mim pia sioni sababu ya kuoa na kuzaa mapema kama haujajipanga kiuchumi , huu ni mkakati mzuri sana wakupunguza panya Road.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti kukata kuni, jaman
 
Ila wakulungwa si tulikubaliana hakuna kuoa, tumeanza kugeukana?
 
Unaamini kweli mtoto wake wa kwanza kapata na beyonce?? Hawawezi kukwambia watoto wake wa nje hata siku moja. Jay Z ni mchepukaji mzuri sana na anawatoto kibao.
Wataje mkuu umwaibishe mtoa mada
 
Kinachonishangaza Jay Z kuoa mtu mdogo sana kwake kwa miaka 15. Jay Z kamzidi Beyonce miaka 15.
 
kwa uo umri wa Jay Z angekua anaishi huku kwa mpalange ima angekua keshakufa au kazeeka dhofu lhali kwa maradhi.

leo nimemsikia mwanamama akitaja umri wake ofisi za voda,anasema kazaliwa 1980 ukimuangalia huyo mama ni bibi yani bibi kabisa kazeeka kaisha.Jay Z kwa uyo mama anaonekana ni mdogo tena mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…