Nimefedheheka sana, nafikiria kuacha kuhonga michepuko

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.

Wakati napewa hizi taarifa nilikuwa na mchepuko pembeni umeshakula mbuzi na wine karibu elfu 30 na bado kuugonga inabidi nichukue room ya 30 plus uchakavu 50 jumla 110 😥😥😥😥

Kwa kweli nilijutia sana kitendo kile nikajisemea hii laki ningemtumia huyu mama si angeniombea mema zaidi kwa Mungu?

Najitafakari upya huu mwenendo wa maisha kwa kuhonga na kulisha malaya wasio na shukrani. Ambapo ungetumia ndugu zako kijijini hiyo hela ungepata baraka.

Eeh Mungu nisaidie
 
Bora umeshituka mzee, mabalaa mengine tunajitafutia.

Mie huwa naanza kuwaza mama yangu, mke wangu kisha wanangu, hapo bado nina mdugu wananitizama, toka nioe mpaka sasa sijachepuka(sio kwamba sitamani la hasha, kuna kitu nimegundua, wanaume haswa hatujaumbiwa kuwa na mwanamke mmoja[emoji23]) ila ndio inabidi nijikaze to the maximum, naiwaza hii laki moja nikimpa mama mzazi 50k waifu nikamganjia 30(haijalishi kkila kitu kipo ndani, lakini hii 30 nimafnyie chochote hata kama ni kumchukulia zawadi), halafu mama mkwe aliyenizalia huyu mtoto mzuri nikampa hata 20.

Sasa hii RESISTANCE kwa huyu ibilisi itadumu mpaka lini.. maana ninajikaza [emoji23][emoji1787]
 
K atanipa mke wangu itatosha mkuu. Hizo laki nazo honga nikimnunulia chupi na night dress kila wiki atanipa k kwa moyo mweupe
Swadakta, vizawadi vizawadi vinanogesha penzi, tunatoa zawadi kutokana na mfuko wetu, wengine vichupi, vichokolet na vidogo vidogo, wengine iphone mpaka magari(ile ile ya kuhonga unamuungia mkeo)

Ikishindikana ni aheri uoe kabisa mke wa pili kama kipato kinaruhusu
 
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.

Wakati napewa hizi taarifa nilikuwa na mchepuko pembeni umeshakula mbuzi na wine karibu elfu 30 na bado kuugonga inabidi nichukue room ya 30 plus uchakavu 50 jumla 110 😥😥😥😥

Kwa kweli nilijutia sana kitendo kile nikajisemea hii laki ningemtumia huyu mama si angeniombea mema zaidi kwa Mungu?

Najitafakari upya huu mwenendo wa maisha kwa kuhonga na kulisha malaya wasio na shukrani. Ambapo ungetumia ndugu zako kijijini hiyo hela ungepata baraka.

Eeh Mungu nisaidie
Shetani alivyo mbaya yaani unahonga lakini wala Roho haiumi, Dah Ndugu Shetani hebu tuachie kidogo!!
 
hli swala huwa linawauma wengi sana. Tatizo bichwa la chini likiamua unaweza jikuta unakacha hata ibada halafu ukimaliza kojoa unaanza kujuta tena.

Kifupi weka tabia ya kumtumia mama pia kila pale unapohonga mchepuko. Hata ukimtumia nusu ya utakayohonga bado dua ya mama utaipata na bichwa la chini utaliridhisha.
 
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.

Wakati napewa hizi taarifa nilikuwa na mchepuko pembeni umeshakula mbuzi na wine karibu elfu 30 na bado kuugonga inabidi nichukue room ya 30 plus uchakavu 50 jumla 110 😥😥😥😥

Kwa kweli nilijutia sana kitendo kile nikajisemea hii laki ningemtumia huyu mama si angeniombea mema zaidi kwa Mungu?

Najitafakari upya huu mwenendo wa maisha kwa kuhonga na kulisha malaya wasio na shukrani. Ambapo ungetumia ndugu zako kijijini hiyo hela ungepata baraka.

Eeh Mungu nisaidie
Endelea tu kuhonga, utafilisiwa kiroho na kimwili. Kwanini usitulie na familia yako.
 
Shetani alivo mbaya, una eza kuwa unatafakari yote haya wakati mchepuko uko pembeni umebinua katako unakoroma taratiiibu na wewe umeweka mkono kwenye msambwanda unapapasa stretch marks.

Ni kweli tamaa ya papuchi ni ngumu kuishinda lakini ina hasara zaidi ya manufaa.

Anyway, tutabadilika tu.. ni suala la muda
 
Siku ya jana maza akanipigia simu kunipa taarifa za msiba wa ndugu wa ukoo. Kwa wiki sasa ninauguza mdogo wangu. Kutokana na changamoto ya kuuguza maza akaniambia mwanangu wala usitume rambirambi nitakulipia tu elfu 10 maana najua unatumia hela kuuguza. Huruma ya mama.

Wakati napewa hizi taarifa nilikuwa na mchepuko pembeni umeshakula mbuzi na wine karibu elfu 30 na bado kuugonga inabidi nichukue room ya 30 plus uchakavu 50 jumla 110 😥😥😥😥

Kwa kweli nilijutia sana kitendo kile nikajisemea hii laki ningemtumia huyu mama si angeniombea mema zaidi kwa Mungu?

Najitafakari upya huu mwenendo wa maisha kwa kuhonga na kulisha malaya wasio na shukrani. Ambapo ungetumia ndugu zako kijijini hiyo hela ungepata baraka.

Eeh Mungu nisaidie
Mtafute bishop Mkandamizaji atakusaidia uache kupoteza hela na muda wako kwa michepuko
 
Back
Top Bottom