matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Baada ya miezi kadhaa kukimbia Jiji na kurudi, hivi karibuni hii ndio Hali niliyoiona uswahilini kwangu.
Hawajui kula kiafya?
Wanaumwa?
Hawana pesa, wanamawazo na hawata kurudi mikoani kujipanga upya?
Wamezoea kula ubwabwa na Sasa umepanda Bei hawako flexible kula manumbu.
Wakuu vipi au macho yangu ndio yamekonda.