[emoji3][emoji2][emoji1][emoji1] imenibidi nichekeHawajakonda ila wewe ndio umenenepa
Hizinazo nifikra zilizooza ameuliwa nanani!?Kuna watu wakiona hizi herufi tatu J P M yaani mavi lazima yagonge chupi
Aisee huyo kashauliwa acha kuogopa
[emoji16][emoji16]
Inabidi hapa wapime tu wa 700 sijui itakuwa kg ngapiMaisha yamekuwa magumu sana awamu hii tangu tupate uhuru!
Namna hii nani atanenepa? [emoji116]View attachment 2486258
vijiji vipo wazi vinawasubili mje mlime kama rahisiMaisha yamekuwa magumu sana awamu hii tangu tupate uhuru!
Namna hii nani atanenepa? [emoji116]View attachment 2486258
wanapiga kazi na kujituma zaidiBaada ya miezi kadhaa kukimbia Jiji na kurudi, hivi karibuni hii ndio Hali niliyoiona uswahilini kwangu.
Hawajui kula kiafya?
Wanaumwa?
Hawana pesa, wanamawazo na hawata kurudi mikoani kujipanga upya?
Wamezoea kula ubwabwa na Sasa umepanda Bei hawako flexible kula manumbu.
Wakuu vipi au macho yangu ndio yamekonda.
Unataka kuwapa chakula?Baada ya miezi kadhaa kukimbia Jiji na kurudi, hivi karibuni hii ndio Hali niliyoiona uswahilini kwangu.
Hawajui kula kiafya?
Wanaumwa?
Hawana pesa, wanamawazo na hawata kurudi mikoani kujipanga upya?
Wamezoea kula ubwabwa na Sasa umepanda Bei hawako flexible kula manumbu.
Wakuu vipi au macho yangu ndio yamekonda.
milo 4 kwa wiki unataka wafanyeje ?Baada ya miezi kadhaa kukimbia Jiji na kurudi, hivi karibuni hii ndio Hali niliyoiona uswahilini kwangu.
Hawajui kula kiafya?
Wanaumwa?
Hawana pesa, wanamawazo na hawata kurudi mikoani kujipanga upya?
Wamezoea kula ubwabwa na Sasa umepanda Bei hawako flexible kula manumbu.
Wakuu vipi au macho yangu ndio yamekonda.
Unene ugonjwa kaka tunafanya sana mazoezi ya kupunguza miili
Kuna tofauti kati ya Kukonda kunenepa na kuwa na afya.Jamaa akili yake ni kama wa Tanzania walio wengi wenye wasiowaelewa.
Unene ni moja wapo ya sifa ya afya mbovu
Angesema na huo ukondefu ni wa namna gani .
Tuache ulimbukeni, unene ni dalili ya mtu ambaye hajali afya yake
😳Hawajakonda ila wewe ndio umenenepa
Sasa hivi wananchi wana nunua mchele robo wakijitahidi sana nusu kilo mbeleni watakuwa awanunui kabisaMaisha yamekuwa magumu sana awamu hii tangu tupate uhuru!
Namna hii nani atanenepa? [emoji116]View attachment 2486258
Kuna tofauti kati ya Kukonda kunenepa na kuwa na afya.
Ukielewa wasaidie na wengine