matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Dar ipi?Dar pamekuwa pakavu sana tunakula mlo mmoja usiku cola ya jero na vitumbua
Mkuu...Dar pagumu sana hapo; ila basi tu, watu wanaamua kukomaa.
fikra zilizooza hiziMimi ninaona tangu JPM atuage ni huzuni, kila mtu anafikiria ukombozi wa kiuchumi.
Kuna watu wakiona hizi herufi tatu J P M yaani mavi lazima yagonge chupifikra zilizooza hizi
Jitafakari
hizi nazo vilevile nifikra zilizoozHuenda wewe ni fisadi aliyejificha. Ufisadi ni mawazo yaliyooza kwani unaozesha taifa.