Nimefika Dar es Salaam watu wengi ninaowafahamu wamekonda, tatizo nini?

Unene ugonjwa kaka tunafanya sana mazoezi ya kupunguza miili
 
Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii tangu tupate uhuru!

Namna hii nani atanenepa? [emoji116]
 
wanapiga kazi na kujituma zaidi
 
Unataka kuwapa chakula?
 
milo 4 kwa wiki unataka wafanyeje ?
 
Wanakonda kwa sababu wanashindia mihogo na Mo energy Tena hata mchana wanakula .
 
Unene ugonjwa kaka tunafanya sana mazoezi ya kupunguza miili

Jamaa akili yake ni kama wa Tanzania walio wengi wenye wasiowaelewa.
Unene ni moja wapo ya sifa ya afya mbovu
Angesema na huo ukondefu ni wa namna gani .
Tuache ulimbukeni, unene ni dalili ya mtu ambaye hajali afya yake
 
Kuna tofauti kati ya Kukonda kunenepa na kuwa na afya.
Ukielewa wasaidie na wengine
 
Kuna tofauti kati ya Kukonda kunenepa na kuwa na afya.
Ukielewa wasaidie na wengine

Wewe jamaa hujielewi na inawezekana hujaenda shule.

Sasa ni hivi kuna kuwa na afya nzuri na kuna kuwa na afya mbovu sio kuwa na afya kama ulivyoeleza wewe
Sasa wewe umesafiri eti umerudi imekufa watu wamekonda unaleta jf kuuliza kuna tatizo gani.
Kwa taarifa yako Kwa taarifa yako mitazamo wa sasa wa kidunia ni kuepukana na unene.
Watu wengi wanene wapo kwenye mitazamo huo kama huelewi ,watu wakaamua kujikondesha Kwa maksudi Kwa kupunguza Kula ,Kula Kwa kuchagua na kufanya mazoezi.
Hakuna tatizo Kwa watu kukonda wakiwa na afya nzuri.
Unene sio mzuri nikiona mtu mnene kwangu Mimi mtu huyo Ana afya mbovu.
Kwangu Mimi uwembamba/ ukondefu ni afya Bora ili mradi mtu asiwe mdhoofu
 
Lazima wakonde chakula mara moja,kazi ngumu,pombe kali halafu wanapenda mashangazi sasa mwili utatoka wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…