Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

Jitahidi usikope mkuu, kukopa kunalemaza sana.

Utajikuta unatumia hovyo kile ulichonacho kwa kudhani kikiisha fulani atakukupea uendelee na life.

Pambana ulipe na ujitahidi usikope tena, na kukopa kunashusha thamani.
 
Jaribu hii.
Nimeanza kuwa muongo, sikuwa hivyo, napenda kuwa peke yangu TU, ila natumia sana kuendelea kuwa muongo. Natamani niiishi huru kama zamani, bila uongo au kujificha. Najiona si Mimi .
 
Back
Top Bottom