Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

Marehemu ni tajiri, Mimi Sina kitu kwa Sasa...ila kwenye misiba pesa huwa zinapatikana.
Acha asili ifanye mambo yake kwa maana kufa Kila mtu atakufa, yachukulie maisha kama game tu, Kila kinachokutokea kwenye upande hasi na chanya jua ni kutokana na namna ulivyocheza hiyo game.

Kaa chini tuliza akili rudi tena mzigoni, acha kuwa muoga, wewe ni askari uliyeaminiwa na dunia ni uwanja wa vita so pambana.

Kama changamoto watu wote wanapitia kwahiyo usijione kama wewe ndio unaepitia hiyo changamoto, ni vile tu tuko hapa oujifariji ili kujisahaulisha shida zetu ila katu hatujawahi kukata tamaa hadi kuanza kufikiria kujiua, wewe ni askari so utashida hii vita👊🏾
 
Kaka madeni ni kitu cha kiroho. Usianze kukabiliana nayo kimwili utashindwa.

Kama Unaamini katika Mungu basi Kuwa mtu wa maombi.

Mungu atakupa hekima na atakufungulia milango ya kuweza kulipa madeni hayo.

Usikate tamaa Mungu anaweza kukutoa kwenye Madeni Ndugu.
 
Mwanaume akizaliwa tu anakuta madeni, ukikua unayakuta mengine, sasa unaanza kuchagua yanayolipwa na yasiyololipika,
uchune tu

Maraisi wote wa nchi hii wamekufa wanatuachia mideni isiyolipika na tumefurahi tu,

lipa kidogokidogo Kwa mapozi ili uonekane una nia
 
Kila siku ni afadhali ya Jana. Sitamani hata kukuche, nimechoka mwili na roho, madeni yananimaliza, bora nipumzike nizikwe nayo.
Mimi hapa ndio nashindwa kuelewa yani madeni yanamuuaje mtu? Si uhame unapoishi
 
Soma kitabu kinaitwa the rich man in the Babylon...

Madeni huleta utajiri
 
Pigana nao tu wasikuzingue hao, usikubali madeni Yao usione umuhimu wa kuishi. Bora wewe unakopesheka Mimi hata kwa kukopa buku Sina.
 
Back
Top Bottom