Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

Jumla zinafika 6million.
Kiande wewe, unataka kufa kwa sababu unadaiwa milioni 6?
Thamani ya maisha yako ni milioni 6? Hopeless wewe.
Kabla hujafa nenda hospitali wakuvune viungo na damu ili viwasaidie wengine wenye ujasiri wa kupambana na maisha.
 
Jumla zinafika 6million.
ulifanyia nn ww? Tatzo la maskini akpata pesa hajali hata kama ni ya mkopo atawaza matumiz ikibak kdogo ndo anawaza kuwekeza ndo ile mtu kabeti kapata mil 50 atanunua cm ya mil 3, gari mil 30 bata mil 15 hapo atazurula viwanja vyote vngne atavipandia ndege kbs plus na mademu ikibak iyo 2 ndo anawaza apatiemo hela ya kubet tena na biashara.
 
Jumla zinafika 6million.
Sasa 6M , ndiyo yakukatisha tamaa, jikaze pambana , kama huna mwambie anayekudai huna utampa wakati mwingine, kama una vitu hutumii uza uwalipe , lakini milioni sita haipaswi kukuletea mawazo kiasi hiko.
 
Kila siku ni afadhali ya Jana. Sitamani hata kukuche, nimechoka mwili na roho, madeni yananimaliza, bora nipumzike nizikwe nayo.
Hamia kijijini, kule unalima unasubiri mavuno, unakula na kuweka hakiba mpaka msimu ujao.

Hakuna ushindani kimaisha kama mijini, kule uwe na simu au usiwe nayo, ni sawa tu. Uwe na nyumba iliyo ezekwa bati au tembe hakuna anayejali.

Uwe na nyumba ya Tofali au ya miti hakuna anayejali, ilimradi wote mnaishi na mna afya njema.
Kukopa mijini ni style ya watu wengi sana, lakini usikubali kuwa mmoja wao.

Unaweza kuacha kukopa na ukatafuta kazi ukafanya au biashara, na ukabadili mfumo wa maisha, ukaishi kwa raha mustarehe.

Tuitahidi tusikupe kufurahisha jamii inayotuzunguka.
 
Back
Top Bottom