TulaSawyer
Member
- Jun 11, 2017
- 20
- 41
Toroka mkoa utakufa wwKila siku ni afadhali ya Jana. Sitamani hata kukuche, nimechoka mwili na roho, madeni yananimaliza, bora nipumzike nizikwe nayo.
Rest In Peace Kamanda... Tutakukumbuka Kwa Uandishi Wako Wa Kipumbavu Uliotukuka Kama Huu Hapa JF...Kila siku ni afadhali ya Jana. Sitamani hata kukuche, nimechoka mwili na roho, madeni yananimaliza, bora nipumzike nizikwe nayo.
Ulisha acha kamari??Kila siku ni afadhali ya Jana. Sitamani hata kukuche, nimechoka mwili na roho, madeni yananimaliza, bora nipumzike nizikwe nayo.
Jumla zinafika 6million.Shingapi unadaiwa
Unatembea na fursa mkuu....Mimi ni keKama ni Ke nicheki,kama ni Me kufa tu mbinguni Kuna rahaa24hrs
Mimi nadaiwa million 13..Jumla zinafika 6million.
Nimeanza kuwa muongo, sikuwa hivyo, napenda kuwa peke yangu TU, ila natumia sana kuendelea kuwa muongo. Natamani niiishi huru kama zamani, bila uongo au kujificha. Najiona si Mimi .Jaribu hii.