Nimefika Newala salama

Mahuta Kuna maajabu gani mkuu?
Umenikumbusha mbali! Fika shimoni, ukibahatika kufika Mahuta. Hakuna sehemu naipenda kama Newala, ni waungwana na wakarimu ajabu. Mengine ni ya kawaida
 
Kasema hahitaji kampani maana bodaboda kamwambia akitaka hata dent analetewa wewe endelea kudanga.
 
Hapo kwenye lodge elfu 5 umenogesha tu genge..uongo?!
 
Vipi ulienda na yale mabasi katikati yamekatwa wameweka marine board au ceiling board wanyuma economy wa mbele VIP.Buti la jeje na Maning sijui nani hukoo.Nchi inavituko hii.
Lengo uponde kwa lugha chafu za kashfa ila nikuambie kitu kimoja hakuna basi la aina hiyo huku newala
 
Lengo uponde kwa lugha chafu za kashfa ila nikuambie kitu kimoja hakuna basi la aina hiyo huku newala
Unaijua lugha chafu wewe? Nilienda Masasi mwaka juzi nikapanda bus limewekwa mambao katikati .Kama hujawahi kuyaona mimi hainihusu.
 
Hapo kwenye lodge elfu 5 umenogesha tu genge..uongo?!
Kadanganya huyo hakuna guest ya bei hiyo hapa newala zaidi ya guest moja ambayo wazinifu wanaenda inaitwa mponda guest house
 
Reactions: BRN
Unaijua lugha chafu wewe? Nilienda Masasi mwaka juzi nikapanda bus limewekwa mambao katikati .Kama hujawahi kuyaona mimi hainihusu.
Hilo bus linaitwaje? Kwasababu kwa mkoa wa mtwara ni mji wa masasi ndio unaotoa magari mengi kuelekea dar tena ni yakisasa
 
Hilo bus linaitwaje? Kwasababu kwa mkoa wa mtwara ni mji wa masasi ndio unaotoa magari mengi kuelekea dar tena ni yakisasa
Buti la Zungu wakanishusha mnazi mmoja nikala coaster mpaka Masasi.
 
Vipi ulienda na yale mabasi katikati yamekatwa wameweka marine board au ceiling board wanyuma economy wa mbele VIP.Buti la jeje na Maning sijui nani hukoo.Nchi inavituko hii.
Hapana mkuu zile bus ni og hazijafanyiwa ufundi wowote.

Kwa njia ya kusini, kaskazini, nyanda za juu kusini au lake zone Buti la jeje ndiye anaendeleza huo mtindo wa VIP wapo kivyao na economy wanajimwaga nyuma huko.

Usiwadharau kusini wapo vyedi, si kama yule wa Mwanza sijui 🍊 anajaribu.
 
Reactions: EEX
Newala safi sana aisee!
Hivi mgahawa wa OMAX bado upo!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…