Nimefika Newala salama

Nimefika Newala salama

Karibu Newala ndugu,,wenyeji tupo hapa,,,leo ulienda Newala Pazuri..kesho elekea Big brother...baa Moja matata sana na bata mzinga kama wote....husisahau kuondoka na korosho Original kutoka hapa Newala....zilizookwa ambazo ni brown kilo Moja ni elf 13 tu.....ukiitaji kampani yangu kama ntakua free nichek dm
Asante kaka nakuja pm
 
Asante sana mdau K11 hatimae nimefanikiwa kufika Newala salama. Tulitoka Dar leo saa 1 kasoro tumeingia Newala saa kumi na moja na nusu.

Mimepata lodge Kali sana kwa sh elfu 5 lodge ambayo kwa mjini daslamu ni 25 mpaka 30 kutegemea na location.

Nimetoka kutazama mpira now pale Newala pazuri now nipo zangu lodge.

Kesho ndio naanza mishe mishe zangu zilizo nileta huku..

# Bodaboda alie nileta kaniambia kama unataka.mtoto wa kimakonde sema uletewe kama.hata kama.unataka denti nikamwambia sihitaji.

Siwezi kutoka na mwanamke wa kuletewa. Kama nitahitaji huduma ya mwanamke nitatongoza mwenyewe mtaani as matter of fact sijaona huku kwa sababu hiyo.

But all in all nimepapenda Newala. Mji umetulia. Watu waungwana. Na.hali ya hewa ni nzuri.

Nitakuwa nawapa mrejesho kuhusu maisha ya Newala.

Asante sana
Umenikumbusha mbali! Fika shimoni, ukibahatika kufika Mahuta. Hakuna sehemu naipenda kama Newala, ni waungwana na wakarimu ajabu. Mengine ni ya kawaida
 
Karibu Newala ndugu,,wenyeji tupo hapa,,,leo ulienda Newala Pazuri..kesho elekea Big brother...baa Moja matata sana na bata mzinga kama wote....husisahau kuondoka na korosho Original kutoka hapa Newala....zilizookwa ambazo ni brown kilo Moja ni elf 13 tu.....ukiitaji kampani yangu kama ntakua free nichek dm
npo newala mkuu tena pia ni mgeni huku, npo mahali panaitwa julia
 
Asante sana mdau K11 hatimae nimefanikiwa kufika Newala salama. Tulitoka Dar leo saa 1 kasoro tumeingia Newala saa kumi na moja na nusu.

Mimepata lodge Kali sana kwa sh elfu 5 lodge ambayo kwa mjini daslamu ni 25 mpaka 30 kutegemea na location.

Nimetoka kutazama mpira now pale Newala pazuri now nipo zangu lodge.

Kesho ndio naanza mishe mishe zangu zilizo nileta huku..

# Bodaboda alie nileta kaniambia kama unataka.mtoto wa kimakonde sema uletewe kama.hata kama.unataka denti nikamwambia sihitaji.

Siwezi kutoka na mwanamke wa kuletewa. Kama nitahitaji huduma ya mwanamke nitatongoza mwenyewe mtaani as matter of fact sijaona huku kwa sababu hiyo.

But all in all nimepapenda Newala. Mji umetulia. Watu waungwana. Na.hali ya hewa ni nzuri.

Nitakuwa nawapa mrejesho kuhusu maisha ya Newala.

Asante sana
mkuu tupo wote huku umakondeni
 
Back
Top Bottom