BRN
JF-Expert Member
- Nov 18, 2013
- 5,188
- 6,633
Sawa...yeye ndio anaita lodge..hiyo ukiwa matembezini mchana huku nyuma akipatikana mteja anaingia.Hiyo guest inaitwa mponda ipo kule ukipita ofisi ya elimu hiyo wazinifu huwa wanaenda kupiga show
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...yeye ndio anaita lodge..hiyo ukiwa matembezini mchana huku nyuma akipatikana mteja anaingia.Hiyo guest inaitwa mponda ipo kule ukipita ofisi ya elimu hiyo wazinifu huwa wanaenda kupiga show
karibu na hospitali, daaaah na ukikosa msosi hapo usiku ulala na nengeNewala kuna sehemu wanauza ugali na mboga Saba sijui kama bado wanaendelea huko upupu unaliwa
Hata siujui huo mkuuNewala safi sana aisee!
Hivi mgahawa wa OMAX bado upo!!?
Hapana sio mponda mkuuHiyo guest inaitwa mponda ipo kule ukipita ofisi ya elimu hiyo wazinifu huwa wanaenda kupiga show
Kwani wewe ulitegemea ufike maiti au? Mbona unashangaza au ulijua ujinga mnaolishwa na kudanganyana hapo Dar ya Mafuriko ndio uko Kila sehemu hapa Tanzania?Asante sana mdau K11 hatimae nimefanikiwa kufika Newala salama. Tulitoka Dar leo saa 1 kasoro tumeingia Newala saa kumi na moja na nusu.
Mimepata lodge Kali sana kwa sh elfu 5 lodge ambayo kwa mjini daslamu ni 25 mpaka 30 kutegemea na location.
Nimetoka kutazama mpira now pale Newala pazuri now nipo zangu lodge.
Kesho ndio naanza mishe mishe zangu zilizo nileta huku..
# Bodaboda alie nileta kaniambia kama unataka.mtoto wa kimakonde sema uletewe kama.hata kama.unataka denti nikamwambia sihitaji.
Siwezi kutoka na mwanamke wa kuletewa. Kama nitahitaji huduma ya mwanamke nitatongoza mwenyewe mtaani as matter of fact sijaona huku kwa sababu hiyo.
But all in all nimepapenda Newala. Mji umetulia. Watu waungwana. Na.hali ya hewa ni nzuri.
Nitakuwa nawapa mrejesho kuhusu maisha ya Newala.
Asante sana
Mwaka huo msiba wa mwalimu niko darasa la 3 ilala primary school iringa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikua pale Mtwara 97 tukikabidhi bandari kwa Bakili Muluzi.
Newala tulikatiza tu.
Poa poa kaka aisee ujenikuelekeze totoz napata wapi kaka au nipe hata email yako hapa nikuchek nikupe simu. .Mkuu nilikuwa kilwa kikazi nimerudi lindi kesho Kutwa nakuja mtwara
Hamna lodge ya 5000 Nevada safi jamaa anawaongopeaWeka picha ya room yako na bathroom.