Nimefika Newala salama

Nimefika Newala salama

Hiyo guest inaitwa mponda ipo kule ukipita ofisi ya elimu hiyo wazinifu huwa wanaenda kupiga show
Sawa...yeye ndio anaita lodge..hiyo ukiwa matembezini mchana huku nyuma akipatikana mteja anaingia.
 
Asante sana mdau K11 hatimae nimefanikiwa kufika Newala salama. Tulitoka Dar leo saa 1 kasoro tumeingia Newala saa kumi na moja na nusu.

Mimepata lodge Kali sana kwa sh elfu 5 lodge ambayo kwa mjini daslamu ni 25 mpaka 30 kutegemea na location.

Nimetoka kutazama mpira now pale Newala pazuri now nipo zangu lodge.

Kesho ndio naanza mishe mishe zangu zilizo nileta huku..

# Bodaboda alie nileta kaniambia kama unataka.mtoto wa kimakonde sema uletewe kama.hata kama.unataka denti nikamwambia sihitaji.

Siwezi kutoka na mwanamke wa kuletewa. Kama nitahitaji huduma ya mwanamke nitatongoza mwenyewe mtaani as matter of fact sijaona huku kwa sababu hiyo.

But all in all nimepapenda Newala. Mji umetulia. Watu waungwana. Na.hali ya hewa ni nzuri.

Nitakuwa nawapa mrejesho kuhusu maisha ya Newala.

Asante sana
Kwani wewe ulitegemea ufike maiti au? Mbona unashangaza au ulijua ujinga mnaolishwa na kudanganyana hapo Dar ya Mafuriko ndio uko Kila sehemu hapa Tanzania?
 
Safi mkuu maisha ni kitabu

Taarfa za msiba wa mwalimu zilikuja tukiwa tumeshaondoka newala

Newala ina watu wazuri sana hakuna kudharauliana wala mnaugomvi yasiyo na mbele wala nyuma

Mwaka huo msiba wa mwalimu niko darasa la 3 ilala primary school iringa.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi mkuu maisha ni kitabu

Nashukuru nilipata nafasi ya kuizunguka hii nchi nikiwa kijana

Ulikuwa upande wa usalama au serikali?
Nilikua pale Mtwara 97 tukikabidhi bandari kwa Bakili Muluzi.
Newala tulikatiza tu.
 
Mkuu nilikuwa kilwa kikazi nimerudi lindi kesho Kutwa nakuja mtwara
 
Mkuu nilikuwa kilwa kikazi nimerudi lindi kesho Kutwa nakuja mtwara
Poa poa kaka aisee ujenikuelekeze totoz napata wapi kaka au nipe hata email yako hapa nikuchek nikupe simu. .

Nikitoka huku naenda Masasi then Nachingwea then liwale
 
Back
Top Bottom