Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hakuna mfuasi wa kweli wa Kristo anayeweza kuunga mkono ushenzi huo hivyo endeleeni kupambana na waarabu wanaofanya hayo maovu.
Vip kuhusu papa?Hakuna mfuasi wa kweli wa Kristo anayeweza kuunga mkono ushenzi huo hivyo endeleeni kupambana na waarabu wanaofanya hayo maovu.
Hao wanaabudu sanamu la bikira maria mimi nawaona kama wapagani tuVip kuhusu papa?
Kwa hiyo kiongozi wako ni mpagani ila ww mfuasi ndio muumini wa kweli?Hao wanaabudu sanamu la bikira maria mimi nawaona kama wapagani tu
Huyo papa anaongoza roman catholic. Tatizo ni kwamba roman catholic inajitambulisha kama ni kanisa lakini mimi kwa kuisoma biblia naona hao sio kanisa la Yesu Kristo.Kwa hiyo kiongozi wako ni mpagani ila ww mfuasi ndio muumini wa kweli?
Mkuu si utakuwa unatupia humu updates, mapicha picha, tu video, si ndio?Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa.
Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia lakini mwaka huu nitapenda Argentina abebe ili Messi amalize na mafanikio ambayo ni ndoto ya kila mchezaji mkubwa.
Nategemea upinzani mkali kutoka Spain, England, Portugal, France, Belgium, Germany na Brazil. Ninaamini kama Argentina hatabeba basi bingwa atakuwa moja ya timu hizo.
Pamoja na kuwepo kwa Gabriel Jesus na Gabriel Martinelli ambao ni vijana wa chama langu la Arsenal, bado Brazil ndio timu nisiyoipenda zaidi ikifuatiwa na Portugal halafu England.
Kwa upande wa Afrika huwa napenda Nigeria na Cameroon ila mwaka huu nawapendelea zaidi Senegal na ninaamini wataliletea heshima bara letu kwa kufika nusu fainali ingawa Mane ana hatihati ya kutocheza.
Jamaa zangu wavaa kobazi huwa tunataniana na kuelimishana hapa jukwaani. Mnitakie heri maana huku nimepanga niondoke na watu watano wenyeji wa Qatar watakaotoa maisha yao kwa Bwana Yesu Kristo.
Qatar ndio nchi niliyowahi kufika mara nyingi zaidi hapa duniani ukiondoa Tanzania ambako ni nyumbani hivyo naifahamu pamoja na ukali wa sheria zao. Safari hii nitakuwa na muda wa kutalii kiasi na kupiga gombo. Hopeful hawataniweka kizuizini.😂
Wale jamaa wa tupia kapicha nimewawekea hapo chini nikiwa Suvarnabhumi international airport pale Bangkok na nilipofika Hamad international airport hapa Qatar.
Natarajia wengi tutapata msukumo wa kujiandaa ili tukutane US, Canada na Mexico mwaka 2026.
Nawatakia world cup njema
Suvarnabhumi international airport
View attachment 2420567
Hamad international airport
View attachment 2420568
Hao jamaa pamoja na Mokiti na Che mittoga huwa wanakuwa na mapambano na waislam hivyo sishangai kumuona humu.Execute ndio Championship au ni mimi tu sielewi
Acha kujifariji madhehebu yote ya kikirsito yametokana na kanisa katoliki.Huyo papa anaongoza roman catholic. Tatizo ni kwamba roman catholic inajitambulisha kama ni kanisa lakini mimi kwa kuisoma biblia naona hao sio kanisa la Yesu Kristo.
Wanaombea wafu, wanalo sanamu la bikira maria, wanaomba kupitia bikira maria, wananyunyiza watoto wakiita ubatizo, wanakataa kwamba mtu hawezi kuokoka hapa duniani nk. Mambo haya ni kinyume na neno la Mungu katika biblia takatifu.
Haufahamu chochote kuhusu ukristo. Kanisa la roma lilikuwa imara kabla Constantine hajaliingilia na kuifanya dini ya roman empire. Kanisa lilipokubali wanasiasa watoe mwongozo likapoteza network.Acha kujifariji madhehebu yote ya kikirsito yametokana na kanisa katoliki.
Saa hazipimwi kwa Latitude ndugu, wewe vipi bwana..!!Yaan latitude na longitude zinasoma sawa?
Zinapimwa kwe GMT au Ruler?Saa hazipimwi kwa Latitude ndugu, wewe vipi bwana..!!
Longitudes help us to calculate time. * Time is measured by the movement of the earth. - The earth moves on its axis from West to East. It is called rotation. * It takes 24 hours for the earth to complete one rotation. - This means in 24 hours, the earth completes 360 degrees. - Hence, it takes about 4 minutes for crossing one degree of longitude (or it takes one hour in crossing 15 degrees of longitude) - Accordingly, the earth has been divided into 24 time zones of one hour each. - This means each place has different times of sunrise and sunset.Zinapimwa kwe GMT au Ruler?
GMT inapimwa na nini?
Umesoma Geography lakini?