Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa.

Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia lakini mwaka huu nitapenda Argentina abebe ili Messi amalize na mafanikio ambayo ni ndoto ya kila mchezaji mkubwa.

Nategemea upinzani mkali kutoka Spain, England, Portugal, France, Belgium, Germany na Brazil. Ninaamini kama Argentina hatabeba basi bingwa atakuwa moja ya timu hizo.

Pamoja na kuwepo kwa Gabriel Jesus na Gabriel Martinelli ambao ni vijana wa chama langu la Arsenal, bado Brazil ndio timu nisiyoipenda zaidi ikifuatiwa na Portugal halafu England.

Kwa upande wa Afrika huwa napenda Nigeria na Cameroon ila mwaka huu nawapendelea zaidi Senegal na ninaamini wataliletea heshima bara letu kwa kufika nusu fainali ingawa Mane ana hatihati ya kutocheza.

Jamaa zangu wavaa kobazi huwa tunataniana na kuelimishana hapa jukwaani. Mnitakie heri maana huku nimepanga niondoke na watu watano wenyeji wa Qatar watakaotoa maisha yao kwa Bwana Yesu Kristo.

Qatar ndio nchi niliyowahi kufika mara nyingi zaidi hapa duniani ukiondoa Tanzania ambako ni nyumbani hivyo naifahamu pamoja na ukali wa sheria zao. Safari hii nitakuwa na muda wa kutalii kiasi na kupiga gombo. Hopeful hawataniweka kizuizini.😂

Wale jamaa wa tupia kapicha nimewawekea hapo chini nikiwa Suvarnabhumi international airport pale Bangkok na nilipofika Hamad international airport hapa Qatar.

Natarajia wengi tutapata msukumo wa kujiandaa ili tukutane US, Canada na Mexico mwaka 2026.

Nawatakia world cup njema

Suvarnabhumi international airport

View attachment 2420567

Hamad international airport

View attachment 2420568
Usisahau kumtafuta Nicolejoyberry nae yuko huko
 
Nilitaka nipite kimya lakini naona sitakuwa nimetenda haki kutokana na jamaa zangu wavaa makobazi kuacha mambo ya msingi na kuleta vihoja vyepesi.

Nilipost hii kitu kama hamasa kwa watanzania kuweza kwenda huko duniani angalau kwenye matukio makubwa. Nafikiri nilikosea kuwawekea kionjo vijana wa mnyaazi kuhusu kupiga gombo hivyo imewauma na wameamua kuja kuharibu uzi wangu.

Sasa leo ngojea niwape somo vijana wa mnyaazi ambalo ni nje ya ligi zetu. Moja kati ya mentors wangu ambaye ni mchungaji aliniambia miaka mingi iliyopita wakati nipo shule ya uhandisi pale coet udsm kwamba inatakiwa nichague ninachokipenda na kuhakikisha nakuwa bora kwa kipimo cha dunia nzima.

Tangu miaka hiyo niliamua kuwa hivyo kwa kujilinganisha na wataalamu wa ICT wa India na Marekani. Kila mwaka naongeza certifications mbalimbali kuhakikisha nakuwa mbele ya game muda wote. Mwaka huu nimeongeza tatu ikiwemo PMP na Scrum master. Ni katika jitihada za kuwa bora kwa viwango vya kimataifa.

Kuna client wetu wapo Qatar na Dubai na ni waislamu konki. Hawa ndio huwa wanasababisha ninaanzisha mada nyingi chokozi kwa waislamu na lengo langu ni kujifunza kuijua imani yao. Kwenye kanuni za negotiations, namna bora ya kushinda ni kuongea na mioyo ya watu. Huwa sina muda wa kuisoma Quran na kuelewa concept nyingi na complications (contradictions) zake.

Sasa kupitia hii mijadala hapa huwa napata aya ambazo nazitumia huko kwa waarabu. Nikitaja aya yoyote ya Quran basi waarabu wanafurahi na kuona naheshimu imani yao na utamaduni wao hivyo inakuwa rahisi kupata tenda zao na kutengeneza mtandao wa kudumu. Hapo huwa napata rejea nyingi kwa kazi zaidi.

Bishop David Oyedepo alipata kusema kwamba kufeli ni jambo rahisi sana, unafeli simply by doing nothing. Hiki ndio kitu nakiona sana kwa waislamu wa Tanzania. Wengi ni failures kwasababu they're doing nothing. Jamaa wa qatar na dubai wanapiga swala tano lakini wanafanya kazi masaa zaidi ya kumi kwa siku. Jamaa kule wala hawaoi wake wengi na kuzaliana bila mpango. Wale watu wanapeleka watoto wao kusoma Marekani na uingereza ambako waislam wa Tanzania wanakutukana.

Hakuna mtu aliyepo busy na jambo muhimu maishani mwake atajikita kutambua mambo ya id hapa jamiiforums. Zamani nilijiunga kwa jina langu ila nikaona siko huru sana kuchangia. Hiyo ni akaunti ya mwaka 2009. Ndipo nikaja kuwa na hii hapa ambayo niko huru kujiachia. Uzuri hapa sheria sijaona kama zinakataza kuwa na id zaidi ya moja hivyo hata sioni kiini cha hoja yako.

Muhimu pata nafasi ya kujiongezea thamani kwenye taaluma uliyonayo, ongeza thamani kwenye biashara yako na kwenye hilo eneo unalopatia mkate wa kila siku ili uwe better version of yourself. Hapa jukwaani kila mtu yupo kwa malengo mbalimbali. Mimi nimepata mengi ya kujifunza kupitia jukwaa hili.

Jukwaa la siasa limenisaidia sana kujifunza kujenga hoja hasa kwa wachangiaji wa miaka ile ya 2010 hadi 2015. Siku hizi vyama vimejaza watu wa propaganda na kulichafua. Jukwaa la ujenzi limenipa mafunzo mengi sana, kule biashara na uchumi kumenifanya niwe mwekezaji kwenye maeneo mengi, jukwaa la kilimo limenifanya niwe na mashamba huko mikoani ambako nalima nk. Mada nyingi zilizonisaidia ni zile za ushuhuda binafsi na ndio maana nilipofikia lengo la kuja world cup nikaamua niandike hapa maana inaweza kumpa hamasa mtu mwingine.

Sasa niwaache maana niko zangu kula maisha ingawa kuna muda nitakuwa nafanya kazi remotely. Remain blessed.

medisonmuta Mlolongo Fusebox political monger senior Greatest Of All Time Dinazarde adriz
 
inaonekana wewe nimuelewa kidogo.sasa mkuu wewe ukohuko Qatar kwaajili yakucheki boli naumeleta uzi kutusimulia lakini wakati huohuo unaingiza mambo yaudini. wewe nimkristo fata kilicho kupeleka acha shobo nauna sema eti unawasomea baazi yaaya. acha shobo. wee angalia mpila ukimaliza ludi. hayo mambo yakujitia mjuaji sana wadini yakiisilamu acha
 
Masikini, mpaka makamasi yanakutoka. Chukua lesso jipanguse!
 
Kuwa na ID nyingi sio kosa. Watu wengi wana multiple IDs.
Nilikuwa nakukumbusha uzezeta wa kuanzisha nyuzi na kujijibu kwa ID nyingine.
 
Okay umeeleweka, ila niliposema latitude na longitude nilimaanisha yupo kwenye exact location ipi?
Well, hiyo inapaswa kuitwa Longitude, Latitude Coordinate(s)   kwa ajili ya kupata location .
 
Wewe ni mfia dini maskini tu. Waarabu ndio wanaongoza kwa kufanya huo ufirauni. Biblia inakataza huo upumbavu, anayefanya au kuunga mkono hayo ni maamuzi yake.
Aisifuye mvua jua imemnyeshea,pole sana,wakubwa tumekuelewa.
 
Kama ameokoka basi anaruhusiwa kuhubiri kwa mtu mmoja au kikundi kidogo ingawa hawezi kuanzisha taasisi mpaka akidhi vigezo fulani.

Hata yeye amejitahadharisha kwamba wanaweza kumweka kizuizini hivyo sijui unabishania nini.
Wewe ndio mleta mada na hiyo ID ni yako,usifikiri hujulikani.
 
Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa.

Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia lakini mwaka huu nitapenda Argentina abebe ili Messi amalize na mafanikio ambayo ni ndoto ya kila mchezaji mkubwa.

Nategemea upinzani mkali kutoka Spain, England, Portugal, France, Belgium, Germany na Brazil. Ninaamini kama Argentina hatabeba basi bingwa atakuwa moja ya timu hizo.

Pamoja na kuwepo kwa Gabriel Jesus na Gabriel Martinelli ambao ni vijana wa chama langu la Arsenal, bado Brazil ndio timu nisiyoipenda zaidi ikifuatiwa na Portugal halafu England.

Kwa upande wa Afrika huwa napenda Nigeria na Cameroon ila mwaka huu nawapendelea zaidi Senegal na ninaamini wataliletea heshima bara letu kwa kufika nusu fainali ingawa Mane ana hatihati ya kutocheza.

Jamaa zangu wavaa kobazi huwa tunataniana na kuelimishana hapa jukwaani. Mnitakie heri maana huku nimepanga niondoke na watu watano wenyeji wa Qatar watakaotoa maisha yao kwa Bwana Yesu Kristo.

Qatar ndio nchi niliyowahi kufika mara nyingi zaidi hapa duniani ukiondoa Tanzania ambako ni nyumbani hivyo naifahamu pamoja na ukali wa sheria zao. Safari hii nitakuwa na muda wa kutalii kiasi na kupiga gombo. Hopeful hawataniweka kizuizini.😂

Wale jamaa wa tupia kapicha nimewawekea hapo chini nikiwa Suvarnabhumi international airport pale Bangkok na nilipofika Hamad international airport hapa Qatar.

Natarajia wengi tutapata msukumo wa kujiandaa ili tukutane US, Canada na Mexico mwaka 2026.

Nawatakia world cup njema

Suvarnabhumi international airport

View attachment 2420567

Hamad international airport

View attachment 2420568
England hafiki popote
 
Nilitaka nipite kimya lakini naona sitakuwa nimetenda haki kutokana na jamaa zangu wavaa makobazi kuacha mambo ya msingi na kuleta vihoja vyepesi.

Nilipost hii kitu kama hamasa kwa watanzania kuweza kwenda huko duniani angalau kwenye matukio makubwa. Nafikiri nilikosea kuwawekea kionjo vijana wa mnyaazi kuhusu kupiga gombo hivyo imewauma na wameamua kuja kuharibu uzi wangu.

Sasa leo ngojea niwape somo vijana wa mnyaazi ambalo ni nje ya ligi zetu. Moja kati ya mentors wangu ambaye ni mchungaji aliniambia miaka mingi iliyopita wakati nipo shule ya uhandisi pale coet udsm kwamba inatakiwa nichague ninachokipenda na kuhakikisha nakuwa bora kwa kipimo cha dunia nzima.

Tangu miaka hiyo niliamua kuwa hivyo kwa kujilinganisha na wataalamu wa ICT wa India na Marekani. Kila mwaka naongeza certifications mbalimbali kuhakikisha nakuwa mbele ya game muda wote. Mwaka huu nimeongeza tatu ikiwemo PMP na Scrum master. Ni katika jitihada za kuwa bora kwa viwango vya kimataifa.

Kuna client wetu wapo Qatar na Dubai na ni waislamu konki. Hawa ndio huwa wanasababisha ninaanzisha mada nyingi chokozi kwa waislamu na lengo langu ni kujifunza kuijua imani yao. Kwenye kanuni za negotiations, namna bora ya kushinda ni kuongea na mioyo ya watu. Huwa sina muda wa kuisoma Quran na kuelewa concept nyingi na complications (contradictions) zake.

Sasa kupitia hii mijadala hapa huwa napata aya ambazo nazitumia huko kwa waarabu. Nikitaja aya yoyote ya Quran basi waarabu wanafurahi na kuona naheshimu imani yao na utamaduni wao hivyo inakuwa rahisi kupata tenda zao na kutengeneza mtandao wa kudumu. Hapo huwa napata rejea nyingi kwa kazi zaidi.

Bishop David Oyedepo alipata kusema kwamba kufeli ni jambo rahisi sana, unafeli simply by doing nothing. Hiki ndio kitu nakiona sana kwa waislamu wa Tanzania. Wengi ni failures kwasababu they're doing nothing. Jamaa wa qatar na dubai wanapiga swala tano lakini wanafanya kazi masaa zaidi ya kumi kwa siku. Jamaa kule wala hawaoi wake wengi na kuzaliana bila mpango. Wale watu wanapeleka watoto wao kusoma Marekani na uingereza ambako waislam wa Tanzania wanakutukana.

Hakuna mtu aliyepo busy na jambo muhimu maishani mwake atajikita kutambua mambo ya id hapa jamiiforums. Zamani nilijiunga kwa jina langu ila nikaona siko huru sana kuchangia. Hiyo ni akaunti ya mwaka 2009. Ndipo nikaja kuwa na hii hapa ambayo niko huru kujiachia. Uzuri hapa sheria sijaona kama zinakataza kuwa na id zaidi ya moja hivyo hata sioni kiini cha hoja yako.

Muhimu pata nafasi ya kujiongezea thamani kwenye taaluma uliyonayo, ongeza thamani kwenye biashara yako na kwenye hilo eneo unalopatia mkate wa kila siku ili uwe better version of yourself. Hapa jukwaani kila mtu yupo kwa malengo mbalimbali. Mimi nimepata mengi ya kujifunza kupitia jukwaa hili.

Jukwaa la siasa limenisaidia sana kujifunza kujenga hoja hasa kwa wachangiaji wa miaka ile ya 2010 hadi 2015. Siku hizi vyama vimejaza watu wa propaganda na kulichafua. Jukwaa la ujenzi limenipa mafunzo mengi sana, kule biashara na uchumi kumenifanya niwe mwekezaji kwenye maeneo mengi, jukwaa la kilimo limenifanya niwe na mashamba huko mikoani ambako nalima nk. Mada nyingi zilizonisaidia ni zile za ushuhuda binafsi na ndio maana nilipofikia lengo la kuja world cup nikaamua niandike hapa maana inaweza kumpa hamasa mtu mwingine.

Sasa niwaache maana niko zangu kula maisha ingawa kuna muda nitakuwa nafanya kazi remotely. Remain blessed.

medisonmuta Mlolongo Fusebox political monger senior Greatest Of All Time Dinazarde adriz
Mkuu umepoteza muda wako kuwaandikia hawa wajinga ambao wamekaa hapo zanzibar wanasema hawaendelei kwasababu Tanganyika imewatawala. Wanataka zanzibar huru wakiamini mwarabu atakuja kuwajengea kila kitu.

Hawa watu ni bongolala wa kutupa na sasa hivi huko unguja na pemba wanafanya kazi ya kuuza makalio yao ili waishi. Wanashindwa kujiongeza na kuona kwamba waarabu kitu pekee wanawajengea ni misikiti. Wako nyuma kielimu na wanategemea seminari za katoliki pamoja na hospitali zao.

Panapo majaliwa watakusoma hapa na kufunguka kiakili.
 
Kama nitakuwa hai 2026 nitaangalia kombe la dunia live. Nitakuwa jikoni kabisa Mungu nakuomba uniongezee miaka ya kuishi.
amina. Haiwezekani passport yangu iishe muda wake kizembe zembe hivi.
Bora Qatar Ni Jirani ila huko Mexico nauli tuu sio mchezo na vile Bongo Hakuna ndege za directly unaishia kuzungushwa sungushwa Nchi sinazojielewa ndio ufike kwa Biden
 
Back
Top Bottom