Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

Longitudes help us to calculate time. * Time is measured by the movement of the earth. - The earth moves on its axis from West to East. It is called rotation. * It takes 24 hours for the earth to complete one rotation. - This means in 24 hours, the earth completes 360 degrees. - Hence, it takes about 4 minutes for crossing one degree of longitude (or it takes one hour in crossing 15 degrees of longitude) - Accordingly, the earth has been divided into 24 time zones of one hour each. - This means each place has different times of sunrise and sunset.
Okay umeeleweka, ila niliposema latitude na longitude nilimaanisha yupo kwenye exact location ipi?
 
Haufahamu chochote kuhusu ukristo. Kanisa la roma lilikuwa imara kabla Constantine hajaliingilia na kuifanya dini ya roman empire. Kanisa lilipokubali wanasiasa watoe mwongozo likapoteza network.

Mpaka kipindi Luther anaweka yale matamko 95 kanisa la rome na matawi yake yalikuwa corrupt. Sasa wao badala ya kutubu kufuatia zile thesis za Martin Luther wakaamua kupitisha vitabu 6 batili vinavyohalalisha upotofu wao.

Hapo kanisa halisi la Kristo likaendelezwa na akina Luther (hapa usiweke madhehebu kwasababu lengo la Luther halikuwa kuanzisha dhehebu bali kusimamia usahihi wa maandiko). Baada ya vizazi vya akina Luther kupita watu waliofuatia nao wakaanza upotofu kwa kuingiza mambo yasiyokuwepo kwenye biblia.

Hapo sasa ndio zikaja movements kama za baptist, methodist, reformed na wengineo. Msingi ni uleule wa kusimamia maandiko. Na tulipoingia kipindi cha ujazo wa Roho Mtakatifu hao nao wakapinga na hapo ndio charismatic, assemblies nk yakazaliwa. Msingi ni uleule wa kuhakikisha maandiko yanafuatwa.

Haya tena tumekuja kizazi cha kinabii na mitume. Hapo unakuta assemblies na charismatic nao wanasimama kuwapinga na kuwaona wamepotea. Yaani ni mambo yaleyale yanajirudia. Hakuna jambo jipya chini ya jua.

Watu wote wanaobakia kuwa dogmatic inapotokea Mungu anaachilia ufunuo mpya wanakuwa hawana tofauti na Mafarisayo waliomsulubisha Yesu wakiamini wanapigania dini yao.

Tuweni macho.
Narudia tena huwezi kutenganisha ukristo na ukatoriki.

Roma ndio imeufanya ukristo ifike hapa ulipo bila Roma kusimama kupambana na Ottoman wenda ulaya nzima wange kuwa waislam.
 
😂😂 Naona umezimiss spana tunazokupiga ndugu muta. Hebu ulete huo ushahidi na mimi niaahidi kukupatia laki moja ukiuleta. Championship huwa anawabana sana koo akiwa na Mokiti na Che mittoga hivyo ni lazima ufanye uzushi ili ukimbie kujibu hoja zao.
Naona umeamua kuongeza mazezeta wenzako wawili kupoteza maboya. Kumbe hao ndiyo walimu wako? Na wewe kumbe unaabudu picha ya Brian Deacon?
Hapa tunazungumzia Championship pamoja na Execute kuwa id moja.
Itabidi siku Moderator wajaribu kuziunga ili wathibitishe.
Nilijua nimegundua peke yangu. Kumbe watu wengi wameshtukia.
Ulivyokua kilaza unajitag kwa nyuzi uliyoanzisha mwenyewe.😀
 
Itakuwa imekuuma sana jamaa kwenda nchi za waasia na waarabu wewe ukiwa hapo tandale na ukisafiri ni kwenda buza.🤣

Kichwa chako huwa ni kigumu. Umeombwa ushahidi umeshindwa kuuleta zaidi ya porojo.
Siku nyingine ujitahidi kuna nyuzi uziruke. Usiwe zezeta kwa kuanzisha kila nyuzi na kujijibu mwenyewe😀.
Usubiri hata kurasa ziende kidogo.
Nyingine unazipotea ili utofauti uonekane kidogo.
 
[emoji848]
Zinapimwa kwe GMT au Ruler?
GMT inapimwa na nini?
Umesoma Geography lakini?
Screenshot_20221119-072722.jpg
 
Na mimi Nasubiria kombe la dunia lipelekwe Dubai nirudi tena kwenye nyumba yangu pale ras al khaima ila jf kuna mikwara [emoji1787][emoji1787]
 
Sasa mbona umeficha uso na mikono yako? Tutajuaje sasa kama kweli ndiyo wewe! Au umeondoka bongo kwa kutoroka!

Usije ukawa umeuza nyumba ya urithi, halafu unaenda kuchezea hela ughaibuni! Aisee ukirudi patachimbika.
Sitaki kufahamika kwa kutumia utambulisho huu wa ID fake. Ipo ID nyingine yenye jina langu, hiyo naweza kuweka picha.
 
Back
Top Bottom