Nimefika salama Qatar kutokea Thailand kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia

Okay umeeleweka, ila niliposema latitude na longitude nilimaanisha yupo kwenye exact location ipi?
 
Narudia tena huwezi kutenganisha ukristo na ukatoriki.

Roma ndio imeufanya ukristo ifike hapa ulipo bila Roma kusimama kupambana na Ottoman wenda ulaya nzima wange kuwa waislam.
 
Naona umeamua kuongeza mazezeta wenzako wawili kupoteza maboya. Kumbe hao ndiyo walimu wako? Na wewe kumbe unaabudu picha ya Brian Deacon?
Hapa tunazungumzia Championship pamoja na Execute kuwa id moja.
Itabidi siku Moderator wajaribu kuziunga ili wathibitishe.
Nilijua nimegundua peke yangu. Kumbe watu wengi wameshtukia.
Ulivyokua kilaza unajitag kwa nyuzi uliyoanzisha mwenyewe.😀
 
Itakuwa imekuuma sana jamaa kwenda nchi za waasia na waarabu wewe ukiwa hapo tandale na ukisafiri ni kwenda buza.🤣

Kichwa chako huwa ni kigumu. Umeombwa ushahidi umeshindwa kuuleta zaidi ya porojo.
Siku nyingine ujitahidi kuna nyuzi uziruke. Usiwe zezeta kwa kuanzisha kila nyuzi na kujijibu mwenyewe😀.
Usubiri hata kurasa ziende kidogo.
Nyingine unazipotea ili utofauti uonekane kidogo.
 
Na mimi Nasubiria kombe la dunia lipelekwe Dubai nirudi tena kwenye nyumba yangu pale ras al khaima ila jf kuna mikwara [emoji1787][emoji1787]
 
Sasa mbona umeficha uso na mikono yako? Tutajuaje sasa kama kweli ndiyo wewe! Au umeondoka bongo kwa kutoroka!

Usije ukawa umeuza nyumba ya urithi, halafu unaenda kuchezea hela ughaibuni! Aisee ukirudi patachimbika.
Sitaki kufahamika kwa kutumia utambulisho huu wa ID fake. Ipo ID nyingine yenye jina langu, hiyo naweza kuweka picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…