Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
I will be short
Any way very late 20s . Sina mtoto sina Mchumba , Ila na pisi Kama 3000 hivi .
Any way nilijikubali kuwa furaha yangu is my own kitambo sana . Yani hata Dunia nzima mpotee mda huu Mimi fresh tu .
Issue living with these women . Mimi nimeshindwa maana Sina unhappy memories ni good life tu . My business is my own sigusi ya watu hii kitu ina ni Tesa .
Jamii I Naona Kama nazingua kumbe nilivyo jiset . Never in other people business . Hizi pisi kila siku shida nitaweza kweli .
Shida za watu na solve then na deal na yangu tu . Kama wazungu . Sasa Hizi pisi za 2000 zimejaa shida daily