Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Mzee wako Mohamed said kila siku analalamika waislamu wanaonewa na kunyimwa fulsa tokea kipindi cha nyerere
Aaaah hilo mie silizingatii na silijui ukina wake ukoje,japo hata wazee wa miaka hiyo waliwahi nieleza kipindi cha Nyerere na Mkapa kilikua kipindi cha Wakatoliki dhidi ya waislam na waislam walinyanyasika sana.
Japo mimi muislam na fursa nimewahi kuzipata tena kwa wakristo na maisha yanaendelea.
 
😄 🤣 😂
Agrey Mwanri alisalimu amri akaishia kupanda miti tu
Ila waswahili wa Mkoa huo ni wavivu wa akili aise
Na nyumba Tatu za gorofa hapo zimejengwa na wachaga
 
Kondoa hakuna masalia ya waarabu msitake kutudanganya.
Hiyo Dodoma yote haikuendelea kabla,sasa hivi ndio serikali imejitahidi kidogo kuiendeleza Dodoma kwasababu ni mji wa kiserikali.
Fika vijiji vya Mabala na Kibaigwa uone maisha mabovu ya maskini wa kigogo.
Boss wapoo. Hapo mjini kati (chemchem na ubembeni)
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Picha wapi !
 
Boss wapoo. Hapo mjini kati (chemchem na ubembeni)
Ni kwa kiasi kidogo sana sio kwa wingi kama Kilwa ama Tanga.
Huko hawajalowea kama walivyolowea Tanga na ukanda wa Pwani.
Dodoma bhana makabila yake yote yana mushkir katika maendeleo.
Warangi popote walipo kuendelea ni ngumu as well as wagogo as well as wanyaturu.
Msimuhusishe mwarabu.
 
Hahaha hao nao wanatatizo gani mpaka wasiendelee.
 
Mimi niliwahi kufika urambo niliduwaa Sana. Yani urambo ilivyo maarufu na nilichokikuta nilishangaa Sana.
 
Ukubwa upi wa eneo au maendeleo..?!Kama ukubwa wa eneo Arusha Wala Mwanza haufikii Tabora
 
Sijui mkuu ila hayo makabila upigaji wao hatua kimaendeleo ni hafifu sana.
Yes babu yangu alienda fundisha dini huko miaka ya ukoloni .
Nina asili ya huko kwa mama.
Shida kubwa ni moja tu hawapendi uendelee kuwazidi juu chini utachukiwa mpaka ukome.
Sasa mnaendeleaje wakati hamtaki kuvuka mstari wa wengine? Afadhali kubwa iko sasa nimeona vijiji vingi vimepiga hatua hakuna njaa kama zamani.
Nimefika lindi ndo niliposema kama ndio hivi basi Tanzania tuna hali kubwa sana ya umaskini.
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Tembelea Cheyo na Kanyenye
 
Kuna kijiji kimoja Njombe(kindengyembe njia ya kwenda lupembe) kina maendelo mazuri ukilinganisha na vijiji vingi bongo
 
Majengo marefu sio maisha Bora mkuu.Mnaoishi dar mbona tunalipa kilio kimoja😂😂😂
Kikubwa angalia,je familia nyingi Zina nyuma zenye hadhi.
Sio mjini kati,bali pembezoni mwa mji.
Mjini kati ni sehemu za biashara.
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Pole Sana,hata huko Dar mjini kabisa kuna myumba za miti na udongo(kariakoo jangwani, mwananyamala manzese NK)
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Acha uongo na kujishauwa yani ufike tabora usijue mjini niwapi kwa miji hii yatanzania ukiondoa dar mwanza arusha na dodoma mingine ipo sawa tu
 
Back
Top Bottom