binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Jirani wa Cuba wewe ๐๐๐Nikiwa narudi huko nyumbani, nitakubebea abuja toka police mess pale jirani yangu..๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani wa Cuba wewe ๐๐๐Nikiwa narudi huko nyumbani, nitakubebea abuja toka police mess pale jirani yangu..๐
Jirani wa kataa ndoa.....๐Jirani wa Cuba wewe ๐๐๐
Dar kwenyewe na Mwanza Katikati ya mji kuna nyumba zenye bati zilizochoka!Tumji karibia tote TZ hii tunafanana tu labda uitoe Dar City na Mwanza.
kweli kabisa, tofauti ni ndogo Sana!Nimetembea mikoa mingi sana, Tanzania inafanana vitu vingi hakuna mkoa wa maana utasema wako juu.... Kuna umasikini wa kutisha maeneo mengi...
Mpaka tunapata uhuru mji wa Tabora ulikuwa mji wa tatu yaani Dar, Tanga na Tabora. Tabora ni mji wa njiapanda kati ya Dar, Kigoma na Mwanza na ulikuwa na shule mbili maarufu yaani Tabora Girls na Tabora Boys, shule zilizoanzishwa na mkoloni kwa ajili ya watoto wa machifu, hata hivyo viongozi wengi walisoma hapo, pia kuna chuo cha Uhazili na chuo cha Reli.Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Mwarabu MAYOR bado anapiga noti kwenye restaurant yake?Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.
Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
๐๐๐๐๐ DaahMi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo
Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Niliwahi kuingia kwenye danguro moja kuangalia kazi huwa zinafanyikaje nikakuta milango kama 20 yote imefungwa hakuna mwanamke ila nje wapo wanaume kama 10 wamekaa kama vile wanasubiri gari kumbe ndo folen hiyo mademu wako ndani na masela wengine mlango ukifunguliwa jamaa anakuja kufungia zipu nje alafu yule alie kwenye folen anakimbilia ndani fasta nilicheka kichizi hiyo sikuKaka,unauliza malaya Tabora? nimepita majiji yote makubwa ila Tabora Malaya wamezagaa hovyo.Kuna sehemu nimesahau jina Kuna Danguro hapo,aisee ni kama utitiri wamejaa
Hujaelewa nilichoandika mkuu.Hii ni Tabora ya kufikirika.... Siyo maghorofa, starehe, miundo mbinu Tabora kamwe hauwezi ifananisha na Mwanza...! Kuifananisha Tabora na mwanza nikuikosea Mwanza heshima. Tabora bado wako local sana, nenda bachu na nakaribia na mjini nyumba za udongo kibao, mji mdogo sana ukitoka kidogo tu upo nje ya mji... Hiyo kanyenye yenyewe ni huruma
Mzee kwa tabora watoto wazuri wapo hasa hayo machimbo uliyoyataja ....ukiongeza na informer na seregeti pub nimetoka leo now nipo shy hapa Robis pub kesho naelekea Rock city nipo na Road trip nazungukia mikoa kadhaaMkuu ebu njoo hapa Oxygen then twende tukale monde hapo Terres kwa nje tukitazama geti la Uhazili uone watoto wakareeeee wanavyo kwenda na kurudi...๐
Mi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo
Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Hii sasa kambaAcha uongo mkuu.
Tabora mjini kuna ghorofa nyingi kuliko jiji la Mbeya, Tanga na Mwanza na mji ni mkubwa kuliko Dodoma, Morogoro, Tunduma na Moshi