Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
We umetokea mkoa upi. Maana humu kila mtu anaishi Dsm. We bwege ni mshamba, umetokea huko porini baada kufika unaona kwa babu yako, rudi kwenu Dsm ni mkoa wa watu
 
Mi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo

Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
[emoji1787]
 
Haaahaaa we jamaa umeuwa
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Mkuu huko tabora wenyeji wengi ni mamwinyi Sana na wanaendekeza Sana Imani za kishirikina ndio maana hakuna maendeleo
 
Uarabu + Uislam baba..... Mahali alipopita Muarabu, akaacha uislamu, sawa na mtu alopita akaachia "USHUZI".....
 
🤣🤣🤣 Tabora ni mji wa kikoloni,mji mkongwe,uswahili mwingi ndomana haubadiliki miaka nenda Rudi
Pole ndo mboka ya manyema hiyooo
Pale wenyeji walipo jiona wanaweza na wakapandisha bei ya nyumba katikati ya mji kila walipotaka kuvuliwa.
Wageni walipo ona ujunga wakaanza kujenga nje ya mji kama Ipuli, Uledi, Maili 5, Cheyo, K/Koo, Kipalapala, Itaga na kadhalika.... huko wageni wamepajenga na wakafungua biashara nyingi na wanapiga noti tu.
 
Mkuu huko tabora wenyeji wengi ni mamwinyi Sana na wanaendekeza Sana Imani za kishirikina ndio maana hakuna maendeleo
Hao wenyeji wamebakia mitaa ya Mwinyi, Chemchem, Bhachu, Kanyeye na Kiyungi.
Kwanza wazee wengi wanakufa na ushirikina wao huku wajukuu zao tukizidi kuwavisha matairi kama kawaida ya Isevya....😜
 
Nimeishi tabora sehem inaitwa sikonge aiseh tabora to honest ni mkoa wa hali ya chini sana
Sikonge ni kawilaya kahivyo kupindikia, yaani wazee wa kule wakiamka asubuhi ni kukaa vibarazani na kucheza bao na wakitoka msikitini wanamalizia siku kwenye vijiwe vya kahawa.
Wajukuu zao wengi ni wavivu grade one, wanashinda kwenye pultebo na chakushangaza watoto wao wengi wa kiume walikimbilia mijini na wakike wamebakiza kuzaa na kuwaleta wajukuu zao walelewe kwa babu na bibi
 
Back
Top Bottom