Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Acha uongo mkuu.

Tabora mjini kuna ghorofa nyingi kuliko jiji la Mbeya, Tanga na Mwanza na mji ni mkubwa kuliko Dodoma, Morogoro, Tunduma na Moshi
Hii ni Tabora ya kufikirika.... Siyo maghorofa, starehe, miundo mbinu Tabora kamwe hauwezi ifananisha na Mwanza...! Kuifananisha Tabora na mwanza nikuikosea Mwanza heshima. Tabora bado wako local sana, nenda bachu na nakaribia na mjini nyumba za udongo kibao, mji mdogo sana ukitoka kidogo tu upo nje ya mji... Hiyo kanyenye yenyewe ni huruma
 
Nyumba za tope ni 80% kuanzia Bachu, Kanyenye, Isevya, Liwali, Chemchem, Mwinyi, Kiyungi na huko ndipo wamejaa wenyeji na mamwinyi na umasikili ulio kithiri
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
... Niji yote waliyokaa wale tuliowapa Bandari Haina Maendeleo ! Chunguza.... [emoji846]
 
1709745326703.png
 
Back
Top Bottom